Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,583
Kenya mmeonyesha mfano.Good thing for democracy...but i fear for Kenyan lives and Kenya economy...2017 will be slow growth...maybe even 2018...I pray for peace but above all I pray for credible elections in the second round...May the will of the ppl prevail...
Mpaka sasa chama tawala na upinzani wote washashinda katika vitabu vyangu.
Chama tawala/ Kenyatta ameshinda kwa kuachia demokrasi na utawala wa sheria vichukue mkondo wake bila kuviingilia.
Ile Kenyatta kusema tu kwamba wapinzani wachiwe waandamane, ila wasivunje sheria tu, huku Tanzania kwa sasa ni kauli adimu sana kusikika kutoka Rais Magufuli, kwa sababu haamini katika demokrasia na uhuru wa mawazo tofauti kujadiliwa.
Chama cha upinzani cha Raila Odinga hata kama kikishindwa tena katika uchaguzi wa rais - chances are, this is what will happen, kitakuwa kimeshinda kwa kuzionyesha nchi nyingine, frankly sio za Africa tu, bali hata Marekani, kamba Kenya kuna uwezo wa kuwa na standard kubwa sana za rule of law, hata rais akishinda katika uchaguzi wa mazabe, uchaguzi unarudiwa. Wamarekani walishindwa kufanya hilo katika Bush v. Gore 2000.
Huku jirani zenu Tanzania hata kuangalia bunge live kwenye TV ni kosa,serikali haitaki.
Kufanya maandamano ya kisiasa au mkutanowa kisiasa ni uchochezi.
Gulag Archipelago, Solzhenitsyn's Soviet style.
********.
Halafu huyo ni bestie wake Raila kitambo. Picture that.