Hii Kenya sio yenu

Hii Kenya sio yenu

Good thing for democracy...but i fear for Kenyan lives and Kenya economy...2017 will be slow growth...maybe even 2018...I pray for peace but above all I pray for credible elections in the second round...May the will of the ppl prevail...
Kenya mmeonyesha mfano.

Mpaka sasa chama tawala na upinzani wote washashinda katika vitabu vyangu.

Chama tawala/ Kenyatta ameshinda kwa kuachia demokrasi na utawala wa sheria vichukue mkondo wake bila kuviingilia.

Ile Kenyatta kusema tu kwamba wapinzani wachiwe waandamane, ila wasivunje sheria tu, huku Tanzania kwa sasa ni kauli adimu sana kusikika kutoka Rais Magufuli, kwa sababu haamini katika demokrasia na uhuru wa mawazo tofauti kujadiliwa.

Chama cha upinzani cha Raila Odinga hata kama kikishindwa tena katika uchaguzi wa rais - chances are, this is what will happen, kitakuwa kimeshinda kwa kuzionyesha nchi nyingine, frankly sio za Africa tu, bali hata Marekani, kamba Kenya kuna uwezo wa kuwa na standard kubwa sana za rule of law, hata rais akishinda katika uchaguzi wa mazabe, uchaguzi unarudiwa. Wamarekani walishindwa kufanya hilo katika Bush v. Gore 2000.

Huku jirani zenu Tanzania hata kuangalia bunge live kwenye TV ni kosa,serikali haitaki.

Kufanya maandamano ya kisiasa au mkutanowa kisiasa ni uchochezi.

Gulag Archipelago, Solzhenitsyn's Soviet style.

********.

Halafu huyo ni bestie wake Raila kitambo. Picture that.
 
Nilisikiliza mawakili Supreme court wakati hii kesi inaedelea na walijitahidi kudhibitisha kwamba kura zilizohesabiwa kwenye vituo hazikua na kusoro.Mahakama imesema kasoro zilianza kwenye uwasilishaji wa kura kwenye makao makuu ya tume na kadhalika...
Ikiwa hivyo ina maana Uhuru alishinda kiukweli mbali tume hawakufuata utaratibu uliyowekwa kisheria wa kutuma,kukusanya matokeo n.k kwenye vituo husika.
Je ina maana safari ya Canaan bado itaishia Bondo?
 
Watu wanadhani hii mara ya kwanza africa kufuta uchaguzi na kuipongeza Kenya, hivi kweli mara hii mmeshau Jecha alifuta uchaguzi Zanzibar baada ya kuwa batili [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Is Zanzibar a republic??
 
I am a Raila supporter bt respect goes to the incumbent Uhuru for his show of statemanship. it cant happen anywhere in africa only Kenya we go down the books of history
Peleka ujinga hii imetokea kwa vile Uhuruto wana backlog ya ICC kwahiyo imebidi kutii maamuzi ya High Court. Believe me isingekuwa hivyo wasingetii. Wameshurutishwa kutii na

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forget about economy, economy inakuja na kuondola. I'm glad about the ruling because haki ni kitu muhimu kwa kila mtu kuwa salama. Election ilikuwa na mambo mengi ambayo yanaifanya kuwa far from credible. Sijuwi nani atasimamia the next one, maama hawa wa sasa wamekuwa under influence mpaka inahatarisha usalama wa nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
I suggest mchukue UN kusimamia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom