Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 398
- 706
Namalizia! Mwanafunzi akikamatwa na simu inachukuliwa na kuharibiwa. Sasa ticha kama ameiharibu au la sheria haijasema! Cha kuzingatia ni kinyume na sheria, kanuni za shule za sekondari mwanafunzi kukutwa na simu!Sheria za shule zinasemaje mwanafunzi akikamatwa na simu
nna mdogo wangu alikua shule moja mkoa wa Dodoma, akakamatwa na simu shuleni na mkuu wa shule akiwa form 6 siku chache kabla ya mtihani.mkuu akakaa na simu hiyo na mdogo wangu alipomaliza shule akadai simu yake lakini mkuu wa shule amegoma kumrudishia na anadai simu imeharibiwa.Ni kweli sheria ya shule hiyo simu ikikamatwa inataifishwa lakini je sheria za nchi zinasemaje,shule inatumia sheria gani kutaifisha mali ya mtu?
sikatai kosa ila nauliza shule inatoa wapi mamlaka ya kuitaifisha nakuiharibuSimu ya nini shuleni???
sawa ni kosa ila je dogo akienda mahakamani kudai simu yake probabilty ya kushinda ipo ?Hiu hoja sio ya sheria za nchi, ni kujua taratibu (by-laws) za shule zinasemaje. Ila binafsi sioni sababu ya kufatili hili swala kwanza ni utovu wa nidhamu kumiliki simu shuleni.
mkuu kwani by laws si zinakua chini ya sheria mama ya nchi auHiu hoja sio ya sheria za nchi, ni kujua taratibu (by-laws) za shule zinasemaje. Ila binafsi sioni sababu ya kufatili hili swala kwanza ni utovu wa nidhamu kumiliki simu shuleni.
probabilty ya kushinda ipo ?
mkuu kwani by laws si zinakua chini ya sheria mama ya nchi au
Mahakamani? probability itategemea na sheria za hiyo Shule zinavyosema kwenye Joining instruction, au ndio kesi ya kuku kuuza ng'ombe? Ningeshauri hizo process za mahakama sijui kufungua file sijui nini na nini bora tu umnunulie dogo simu nyingine.sawa ni kosa ila je dogo akienda mahakamani kudai simu yake probabilty ya kushinda ipo ?
Bangi inatudishwaga kwa mhalifu? Kama hairuhusiwi ilitakiwa ibaki nyumbanisikatai kosa ila nauliza shule inatoa wapi mamlaka ya kuitaifisha nakuiharibu
Sijaona nchi yenye malimbukeni kama yetu. Ni unafiki kwa kwenda mbele. Hivi mwanafunzi wa sekondari tena form 6 kuwa na simu kuna shida gani? Ndiyo maana mijitu ikianza kazi inakuwa na roho ngumu kama mawe, kila saa ni ofisini ni kisirani na huduma hakuna.Simu ya nini shuleni???