Hii kesi niiendesheje ili kunufaika na shambulio hili

Mangole Valles Michael

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2021
Posts
339
Reaction score
683
Wasaalam wakuu, usiku wa jumamos nilitoka kwenda kuchek gam ya Madrid na Barcelona huku nikiwa natumia Moja baridi Moja moto baada ya game nikawa narudi home wakati nipo njiani ni main load nilikutana na kundi la watu zaidi ya sita (Police jamii) mda huo skuwafaham walinisimamisha na kunihoji.

Wao: Unatoka wapi na unakwenda wapi.?

Mimi: natoka kuangaliaa mpira na kwenda home

Wao: saa ngapi sasahivi.?

Mimi: sjui maana simu umezima

Wao: upo chini ya ulinzi

Mimi: ninyi ni akina nani.?

Jamaa mmoja akanipiga rungu la bega na kunibeba mpka Chocho flan iv wakaanza kunipa kipigo Cha mbwa koko.

Baadae wakaniamuru niruke ukuta flan iv WA fensi kuingia ndani eneo walilokua wananipeleka Kwa usiku ule ni hatarishi, yalikua ni machinjioni ya zamani kwaio eneo kubwa kwasasa linatumika kwa kilimo na katikati Kuna ofisi zao pamoja na ofisi ya mtaa.

Baada ya kufikishwa ndani ya eneo Hilo moyo wangu uligopa sana nikajua hapa Sasa naenda kufa,, baadae nikajaribu kukimbia jamaa mmoja akanipgia but nikadondoka baadae nikawa mpole acha wafanye wanacho fanya.

Waliniingiza ndani ya chumba Chao (ofisi) vipgo vikaanza baadae wakanisachi na kuniamuru nitoe Kila kitu nilicho nacho nikawaambia nilikua na hela wakasema hii 2000 nikajibu ee na wakachukua na simu kisha kunihamisha chumba na kunifungia kwenye chumba kingine.

Asubuhi kumepambazuka wakataka tuyaongea kishikaji tukaongea ila niliwakubalia ili waniachilie Mimi nikatoka nikaenda police nikaonana na mkuu WA kituo na kumweleza.

Mkuu WA kituo akashauri nifungue kesi kisha yeye atajaribu kutupatanisha ikishindikana bas tutaona hatua nyingine inayo fuata.

Leo ndo yalikua mazunguzo mle Kwa OCS mazunguzo yetu Mimi nilidai kurudishiwa pesa yangu 40000 na gharama za matibabu 65000

Wao wakiongozwa na mzee mmoja (Mzee WA Baraza mkuu wao) wakasema wanalipa gharama za kwenye lisit tu sh 30000 hizo zingine hawazitambui ikiwemo na ile 40000

Baada ya mda mrefu WA majadiliano OCS alighazabika sana baada ya kuona tumeshindwa kulidhiana akashauri kua hata njia ninayo ona nitapata haki nayo inachangamoto maana itahitaji upelelezi WA kina alafu naweza kua nadhani Sina kosa ila mahakama baadae ikaja niona pia mm nina makosa.

Akasema kama unataka hivo haina shida yeye anajaza fail langu na kumpa mpelelezi.

Baadae OSC akamwmabia yule Mzee WA Baraza achukue form ya dhamana amzamin mtu wake kisha tutapigiwa simu Kwa hatua zinazo fuata.

Wakuu hapa najua kuna watu ni wanasheria, askari police na mahakama Kwa kesi ilivo. Wapi nitakua nimekosea na na ni kipi natakiwa kufanya ili nipate haki yangu.

Nikweli hospital zetu zina mfumo WA kupiga Kuna gharama ambazo hazikuwekwa kwenye list ni zaid ya 15000 wamezikataa hapa nafanyeje.?
 
Polisi jamii na polisi tanzania wao uwa ni kupiga tu uwe na kosa au usiwe na kosa wao ni kipigo tu

Happ hauna kosa wewe wasongeshe mbele tu, huyo mkuu wa kituo anajaribu kukutisha
 
Mkuu kama hao waliokufanyia hiko kitendo unawajua usipate tabu..

Kwanza tafuta kama 50k hv alafu nenda kwa wahuni then uwape full kisa chako na kuwapa detals zote za hao watu..

Alafu wee pita hv acha wamalizane kisela....

Hao sungusungu jau sana.
Mimi tangu niibiwe hapa. Huwa wakipita kuomba pesa ya ulinzi huwa nawatukana tu..
Na siku wakanibeba mpaka kituoni mi nikatoa rb yngu basi wakaniacha kiivo...

Kwa sasa sina mda wa kubishana na mtu au kuomba haki sijui sheria no..

Man to man. Kuna mitego unaweza mwekea mtu ata asijue kama upo behind na hilo jambo
 
Polisi jamii na polisi tanzania wao uwa ni kupiga tu uwe na kosa au usiwe na kosa wao ni kipigo tu

Happ hauna kosa wewe wasongeshe mbele tu, huyo mkuu wa kituo anajaribu kukutisha
Hatofanikiwa mkuu..
Hapo polisi jamii ni serikali
 
Pole sana. Polisi jamii wengi wana tatizo la afya ya akili.
 
Jamaa hao wajinga sana. Hata mimi walishawahi kunipiga natoka kwa demu halafu walipo maliza kunipiga wakaanza kuniambia wewe si ndo una flema mahali fulani huku umefikaje?

Uzuri wahuni walimalizana nao mmoja baada ya mwingine kwa 70k tu
😄

Ova
 
Wasaalam wakuu, usiku wa jumamos nilitoka kwenda kuchek gam ya Madrid na Barcelona huku nikiwa natumia Moja baridi Moja moto baada ya game nikawa narudi home wakati nipo njiani ni main load nilikutana na kundi la watu zaidi ya sita (Police jamii) mda huo skuwafaham walinisimamisha na kunihoji.

Wao: Unatoka wapi na unakwenda wapi.?

Mimi: natoka kuangaliaa mpira na kwenda home

Wao: saa ngapi sasahivi.?

Mimi: sjui maana simu umezima

Wao: upo chini ya ulinzi

Mimi: ninyi ni akina nani.?

Jamaa mmoja akanipiga rungu la bega na kunibeba mpka Chocho flan iv wakaanza kunipa kipigo Cha mbwa koko.

Baadae wakaniamuru niruke ukuta flan iv WA fensi kuingia ndani eneo walilokua wananipeleka Kwa usiku ule ni hatarishi, yalikua ni machinjioni ya zamani kwaio eneo kubwa kwasasa linatumika kwa kilimo na katikati Kuna ofisi zao pamoja na ofisi ya mtaa.

Baada ya kufikishwa ndani ya eneo Hilo moyo wangu uligopa sana nikajua hapa Sasa naenda kufa,, baadae nikajaribu kukimbia jamaa mmoja akanipgia but nikadondoka baadae nikawa mpole acha wafanye wanacho fanya.

Waliniingiza ndani ya chumba Chao (ofisi) vipgo vikaanza baadae wakanisachi na kuniamuru nitoe Kila kitu nilicho nacho nikawaambia nilikua na hela wakasema hii 2000 nikajibu ee na wakachukua na simu kisha kunihamisha chumba na kunifungia kwenye chumba kingine.

Asubuhi kumepambazuka wakataka tuyaongea kishikaji tukaongea ila niliwakubalia ili waniachilie Mimi nikatoka nikaenda police nikaonana na mkuu WA kituo na kumweleza.

Mkuu WA kituo akashauri nifungue kesi kisha yeye atajaribu kutupatanisha ikishindikana bas tutaona hatua nyingine inayo fuata.

Leo ndo yalikua mazunguzo mle Kwa OCS mazunguzo yetu Mimi nilidai kurudishiwa pesa yangu 40000 na gharama za matibabu 65000

Wao wakiongozwa na mzee mmoja (Mzee WA Baraza mkuu wao) wakasema wanalipa gharama za kwenye lisit tu sh 30000 hizo zingine hawazitambui ikiwemo na ile 40000

Baada ya mda mrefu WA majadiliano OCS alighazabika sana baada ya kuona tumeshindwa kulidhiana akashauri kua hata njia ninayo ona nitapata haki nayo inachangamoto maana itahitaji upelelezi WA kina alafu naweza kua nadhani Sina kosa ila mahakama baadae ikaja niona pia mm nina makosa.

Akasema kama unataka hivo haina shida yeye anajaza fail langu na kumpa mpelelezi.

Baadae OSC akamwmabia yule Mzee WA Baraza achukue form ya dhamana amzamin mtu wake kisha tutapigiwa simu Kwa hatua zinazo fuata.

Wakuu hapa najua kuna watu ni wanasheria, askari police na mahakama Kwa kesi ilivo. Wapi nitakua nimekosea na na ni kipi natakiwa kufanya ili nipate haki yangu.

Nikweli hospital zetu zina mfumo WA kupiga Kuna gharama ambazo hazikuwekwa kwenye list ni zaid ya 15000 wamezikataa hapa nafanyeje.?
Pole sana. Kumbe Tanzania kuna maeneo bado yako enzi za mawe!
 
Hauwezi kushinda mtu mmoja dhidi ya wa watu lundo mana hapo kuanzia polisi wazee wa balaza wote wapo upande wa hao sungusung
malizana nao ulale mbele..
 
Nashauri Malizana nao.

Wakulipe hiyo Fidia.

Na baadae sasa wafanyie umafia, tafuta mnyonge mmoja ulipize kisasi kwa namna yoyote ile.
 
Back
Top Bottom