Mangole Valles Michael
JF-Expert Member
- May 30, 2021
- 339
- 683
Hatofanikiwa mkuu..Polisi jamii na polisi tanzania wao uwa ni kupiga tu uwe na kosa au usiwe na kosa wao ni kipigo tu
Happ hauna kosa wewe wasongeshe mbele tu, huyo mkuu wa kituo anajaribu kukutisha
Jamaa hao wajinga sana. Hata mimi walishawahi kunipiga natoka kwa demu halafu walipo maliza kunipiga wakaanza kuniambia wewe si ndo una flema mahali fulani huku umefikaje?Ina maana hao watu hawakujuwi/hufahamiki maeneo hayo
Ova
😄Jamaa hao wajinga sana. Hata mimi walishawahi kunipiga natoka kwa demu halafu walipo maliza kunipiga wakaanza kuniambia wewe si ndo una flema mahali fulani huku umefikaje?
Uzuri wahuni walimalizana nao mmoja baada ya mwingine kwa 70k tu
Ni mitaa tofauti mkuu sio wamtaani kwanguIna maana hao watu hawakujuwi/hufahamiki maeneo hayo
Ova
Pole sana. Kumbe Tanzania kuna maeneo bado yako enzi za mawe!Wasaalam wakuu, usiku wa jumamos nilitoka kwenda kuchek gam ya Madrid na Barcelona huku nikiwa natumia Moja baridi Moja moto baada ya game nikawa narudi home wakati nipo njiani ni main load nilikutana na kundi la watu zaidi ya sita (Police jamii) mda huo skuwafaham walinisimamisha na kunihoji.
Wao: Unatoka wapi na unakwenda wapi.?
Mimi: natoka kuangaliaa mpira na kwenda home
Wao: saa ngapi sasahivi.?
Mimi: sjui maana simu umezima
Wao: upo chini ya ulinzi
Mimi: ninyi ni akina nani.?
Jamaa mmoja akanipiga rungu la bega na kunibeba mpka Chocho flan iv wakaanza kunipa kipigo Cha mbwa koko.
Baadae wakaniamuru niruke ukuta flan iv WA fensi kuingia ndani eneo walilokua wananipeleka Kwa usiku ule ni hatarishi, yalikua ni machinjioni ya zamani kwaio eneo kubwa kwasasa linatumika kwa kilimo na katikati Kuna ofisi zao pamoja na ofisi ya mtaa.
Baada ya kufikishwa ndani ya eneo Hilo moyo wangu uligopa sana nikajua hapa Sasa naenda kufa,, baadae nikajaribu kukimbia jamaa mmoja akanipgia but nikadondoka baadae nikawa mpole acha wafanye wanacho fanya.
Waliniingiza ndani ya chumba Chao (ofisi) vipgo vikaanza baadae wakanisachi na kuniamuru nitoe Kila kitu nilicho nacho nikawaambia nilikua na hela wakasema hii 2000 nikajibu ee na wakachukua na simu kisha kunihamisha chumba na kunifungia kwenye chumba kingine.
Asubuhi kumepambazuka wakataka tuyaongea kishikaji tukaongea ila niliwakubalia ili waniachilie Mimi nikatoka nikaenda police nikaonana na mkuu WA kituo na kumweleza.
Mkuu WA kituo akashauri nifungue kesi kisha yeye atajaribu kutupatanisha ikishindikana bas tutaona hatua nyingine inayo fuata.
Leo ndo yalikua mazunguzo mle Kwa OCS mazunguzo yetu Mimi nilidai kurudishiwa pesa yangu 40000 na gharama za matibabu 65000
Wao wakiongozwa na mzee mmoja (Mzee WA Baraza mkuu wao) wakasema wanalipa gharama za kwenye lisit tu sh 30000 hizo zingine hawazitambui ikiwemo na ile 40000
Baada ya mda mrefu WA majadiliano OCS alighazabika sana baada ya kuona tumeshindwa kulidhiana akashauri kua hata njia ninayo ona nitapata haki nayo inachangamoto maana itahitaji upelelezi WA kina alafu naweza kua nadhani Sina kosa ila mahakama baadae ikaja niona pia mm nina makosa.
Akasema kama unataka hivo haina shida yeye anajaza fail langu na kumpa mpelelezi.
Baadae OSC akamwmabia yule Mzee WA Baraza achukue form ya dhamana amzamin mtu wake kisha tutapigiwa simu Kwa hatua zinazo fuata.
Wakuu hapa najua kuna watu ni wanasheria, askari police na mahakama Kwa kesi ilivo. Wapi nitakua nimekosea na na ni kipi natakiwa kufanya ili nipate haki yangu.
Nikweli hospital zetu zina mfumo WA kupiga Kuna gharama ambazo hazikuwekwa kwenye list ni zaid ya 15000 wamezikataa hapa nafanyeje.?
Hauwezi kushinda mtu mmoja dhidi ya wa watu lundo mana hapo kuanzia polisi wazee wa balaza wote wapo upande wa hao sungusungWasaalam wakuu, usiku wa jumamos nilitoka kwenda kuchek gam ya Madrid na Barcelona huku nikiwa natumia Moja baridi Moja moto baada ya game nikawa narudi home wakati nipo njiani ni main load nilikutana na kundi la watu zaidi ya sita (Police jamii) mda huo skuwafaham walinisimamisha na kunihoji.
Wao: Unatoka wapi na unakwenda wapi.?
Mimi: natoka kuangaliaa mpira na kwenda home
Wao: saa ngapi sasahivi.?
Mimi: sjui maana simu umezima
Wao: upo chini ya ulinzi
Mimi: ninyi ni akina nani.?
Jamaa mmoja akanipiga rungu la bega na kunibeba mpka Chocho flan iv wakaanza kunipa kipigo Cha mbwa koko.
Baadae wakaniamuru niruke ukuta flan iv WA fensi kuingia ndani eneo walilokua wananipeleka Kwa usiku ule ni hatarishi, yalikua ni machinjioni ya zamani kwaio eneo kubwa kwasasa linatumika kwa kilimo na katikati Kuna ofisi zao pamoja na ofisi ya mtaa.
Baada ya kufikishwa ndani ya eneo Hilo moyo wangu uligopa sana nikajua hapa Sasa naenda kufa,, baadae nikajaribu kukimbia jamaa mmoja akanipgia but nikadondoka baadae nikawa mpole acha wafanye wanacho fanya.
Waliniingiza ndani ya chumba Chao (ofisi) vipgo vikaanza baadae wakanisachi na kuniamuru nitoe Kila kitu nilicho nacho nikawaambia nilikua na hela wakasema hii 2000 nikajibu ee na wakachukua na simu kisha kunihamisha chumba na kunifungia kwenye chumba kingine.
Asubuhi kumepambazuka wakataka tuyaongea kishikaji tukaongea ila niliwakubalia ili waniachilie Mimi nikatoka nikaenda police nikaonana na mkuu WA kituo na kumweleza.
Mkuu WA kituo akashauri nifungue kesi kisha yeye atajaribu kutupatanisha ikishindikana bas tutaona hatua nyingine inayo fuata.
Leo ndo yalikua mazunguzo mle Kwa OCS mazunguzo yetu Mimi nilidai kurudishiwa pesa yangu 40000 na gharama za matibabu 65000
Wao wakiongozwa na mzee mmoja (Mzee WA Baraza mkuu wao) wakasema wanalipa gharama za kwenye lisit tu sh 30000 hizo zingine hawazitambui ikiwemo na ile 40000
Baada ya mda mrefu WA majadiliano OCS alighazabika sana baada ya kuona tumeshindwa kulidhiana akashauri kua hata njia ninayo ona nitapata haki nayo inachangamoto maana itahitaji upelelezi WA kina alafu naweza kua nadhani Sina kosa ila mahakama baadae ikaja niona pia mm nina makosa.
Akasema kama unataka hivo haina shida yeye anajaza fail langu na kumpa mpelelezi.
Baadae OSC akamwmabia yule Mzee WA Baraza achukue form ya dhamana amzamin mtu wake kisha tutapigiwa simu Kwa hatua zinazo fuata.
Wakuu hapa najua kuna watu ni wanasheria, askari police na mahakama Kwa kesi ilivo. Wapi nitakua nimekosea na na ni kipi natakiwa kufanya ili nipate haki yangu.
Nikweli hospital zetu zina mfumo WA kupiga Kuna gharama ambazo hazikuwekwa kwenye list ni zaid ya 15000 wamezikataa hapa nafanyeje.?
Nimeshangaa sanaPole sana. Kumbe Tanzania kuna maeneo bado yako enzi za mawe!