johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kwa namna ilipofikia japo Inawezekana kuishia katikati lakini imeshavuta hisia za Watu wengi sana hadi Kenya na Uganda
Tuko hapa na Mzee Mgaya tumejikuta Tunakumbushana Kesi za wale Wanyalu Mamwindi na 1980s ya hawa Wanyalu wagiriki akina Hans Pope kwa namna zilivyomkasirisha mwalimu Nyerere
Zama zimebadilika sana ila Binadamu ni wale wale 🐼