Hii Kete ya Janabi inavosukumwa ni VEMA lakini Gharama za kuzunguka manchi yote zinatoka wapi?

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,233
Reaction score
12,398
Kete ya Janabi inasukumwa kibabe sana. Suala la yeye Kushinda au Kutoshinda litabaki kwa wajumbe wenyewe na prudence yao.

Hoja ya MSINGI ni jopo la JK lina watu kama 5 au saba hivi; mpaka sasa wamezunguka nchi kama saba na bado safari inasonga mbele; DHUMUNI HASA za safari hii ni KUSUKUMA KETE YA JANABI…. That is all na huo ndio Ujumbe wa Rais Mama

Hapa kuna perdiems, travel cost , Accomodations , emergency fund , travel suits cost and all that ….

Ikumbukwe pia hizi ni Presidential cost and VIP cost . JK Huwezi kumlaza hotel ya dola 1000, impossible he is a former president… he still holds country ‘s secrets

Je hizi gharama zote zinatoka wapi?

Kulipa watu wote hao ? Je kuna umuhimu wa kusafiri na hiyo nyomi?

Matumizi ya hizi fedha ana audit nani?

Je ni fungu gani linatumika ukilinganisha na umuhimu wa hiyo Nafasi kwa wananchi Watanzania ambao hadi leo hawana matundu ya choo , maji etc ?

Kila kitu cha WHO kinaamuliwa GENEVA, huko Africa ni ku implement what has been decided….all bugdets ya WHO inakuwa planned Geneva….Siyo nafasi yenye impact yoyote kwa MTANZANIA wa chini;

Je Gharama za jopo lote hilo ni kwa sababu ya USHIKAJI wa hawa watatu urafiki na udugu wao hadi kutia kodi z Watanzania kiasi Hiko?

Serikali ya Sasa inamatumizi mabaya sana ya fedha hakika; ni kama nchi imepoteza internal control system upande wa Financial kabisa. Haya ndio mahela tunasikia yamekusanywa na TRA na hayaonekani yalipo.

Dr Megalodon Mushi
Canada

IMG_4856.jpeg
 
View attachment 3307697
Marehemu alishinda bila mbwembwe hizi. Hii inataka kamaanisha kwamba Prof Janabi ni dhaifu kiasi lazima apiganiwe kama mtoto njiti??

Kwa dhana hii inaonyesha Jababi ni dhaifu kuliko mjinga wa kawaida.

Na Kwa udahifu huo anakwenda kupigwa asubuhi na mapema.

Akipigwa ni aibu Kwa timu nzima
 
mkuu kuwa tuu mpolee watu wajivunie shamba la bibi bibi mama kizimkazi oyee.
Ni wakati wa kujua haki zenu na kupigania. Mambo kama haya hayahitaji utani. Huu ni unyama wa hali ya juu na ndiyo maana tunasema bila CCM kuondoshwa watanzania wataendelea kuteseka. Na mbaya zaidi hata akishinda hakuna faida ya maana kulinganisha na gharama zinazotumika.
 
Na hizo gharama zitarudije? Hiko cheo kina faida gani kwa Tanzania?
 
Ni wakati wa kujua haki zenu na kupigania. Mambo kama haya hayahitaji utani. Huu ni unyama wa hali ya juu na ndiyo maana tunasema bila CCM kuondoshwa watanzania wataendelea kuteseka. Na mbaya zaidi hata akishinda hakuna faida ya maana kulinganisha na gharama zinazotumika.
Sipati picha hayo makomvoyi
 
Mi nakuhakikishia kati ya tawala zoote tuliyokula hasara wananchi ni huu utawala wa mama...kinachoumiza zaidi eti anakomaa aendelee kuwa rais kwa term ingine 5 yrs!
Kiukweli utawala wa kurithi ungemtosha kabisa, tamaa huku uwezo hana!.
 
Marehemu alishinda bila mbwembwe hizi. Hii inataka kamaanisha kwamba Prof Janabi ni dhaifu kiasi lazima apiganiwe kama mtoto njiti??

Kwa dhana hii inaonyesha Jababi ni dhaifu kuliko mjinga wa kawaida.

Na Kwa udahifu huo anakwenda kupigwa asubuhi na mapema.

Akipigwa ni aibu Kwa timu nzima
Nilitaka ni comment kitu lakini basi. Ngoja tusubiri matokeo kwanza.
 
Ni wakati wa kujua haki zenu na kupigania. Mambo kama haya hayahitaji utani. Huu ni unyama wa hali ya juu na ndiyo maana tunasema bila CCM kuondoshwa watanzania wataendelea kuteseka. Na mbaya zaidi hata akishinda hakuna faida ya maana kulinganisha na gharama zinazotumika.
Kwenye hizi safari hapo kuna mpunga utapigwa sana as justification ni SAFARI

CCM ni wataalam snaa wa kuiba na Justificatin . Ni sawa we uombe kazi UN then serikali ianze kutumia kodi za wananchi kuhakikisha unapata?

Wananchi watanufaika nn wewe ukipata! Hiyo ni post kama post nyingine…. Inaenda kumnufaisha mlengwa tu and not otherwise

Hili swala limebebwa KISHIKAJI ZAId Na hapa kuna Justification ya upigaji

Wengi wanadhan linamanufaa kwa nchi….. it is not … lipo kiushikqji zaidi
 
Mi nakuhakikishia kati ya tawala zoote tuliyokula hasara wananchi ni huu utawala wa mama...kinachoumiza zaidi eti anakomaa aendelee kuwa rais kwa term ingine 5 yrs!
Kiukweli utawala wa kurithi ungemtosha kabisa, tamaa huku uwezo hana!.
Ngosha nae alikufa mapema snaa bhana. Huyu mama hakuwahi hata kuwa na ndoto ya kuwa Rais ….

Ilipaswa makamu akae only 3 months then ufanyike uchaguzi mdogo

Yaani wameweka Tozo kila mahal , wanakopa na nchi haina pesa dah
 
Kete ya Janabi inasukumwa kibabe sana. Suala la yeye Kushinda au Kutoshinda litabaki kwa wajumbe wenyewe na prudence yao.

Hoja ya MSINGI ni jopo la JK lina watu kama 5 au saba hivi; mpaka sasa wamezunguka nchi kama saba na bado safari inasonga mbele; DHUMUNI HASA za safari hii ni KUSUKUMA KETE YA JANABI…. That is all na huo ndio Ujumbe wa Rais Mama

Hapa kuna perdiems, travel cost , Accomodations , emergency fund , travel suits cost and all that ….

Ikumbukwe pia hizi ni Presidential cost and VIP cost . JK Huwezi kumlaza hotel ya dola 1000, impossible he is a former president… he still holds country ‘s secrets

Je hizi gharama zote zinatoka wapi?

Kulipa watu wote hao ? Je kuna umuhimu wa kusafiri na hiyo nyomi?

Matumizi ya hizi fedha ana audit nani?

Je ni fungu gani linatumika ukilinganisha na umuhimu wa hiyo Nafasi kwa wananchi Watanzania ambao hadi leo hawana matundu ya choo , maji etc ?

Kila kitu cha WHO kinaamuliwa GENEVA, huko Africa ni ku implement what has been decided….all bugdets ya WHO inakuwa planned Geneva….Siyo nafasi yenye impact yoyote kwa MTANZANIA wa chini;

Je Gharama za jopo lote hilo ni kwa sababu ya USHIKAJI wa hawa watatu urafiki na udugu wao hadi kutia kodi z Watanzania kiasi Hiko?

Serikali ya Sasa inamatumizi mabaya sana ya fedha hakika; ni kama nchi imepoteza internal control system upande wa Financial kabisa. Haya ndio mahela tunasikia yamekusanywa na TRA na hayaonekani yalipo.

Dr Megalodon Mushi
Canada

View attachment 3307697
Hivi huyu bwana hii silaha ni ya kazi gani
 
Back
Top Bottom