Hii Kete ya Janabi inavosukumwa ni VEMA lakini Gharama za kuzunguka manchi yote zinatoka wapi?

Hii Kete ya Janabi inavosukumwa ni VEMA lakini Gharama za kuzunguka manchi yote zinatoka wapi?

Kete ya Janabi inasukumwa kibabe sana. Suala la yeye Kushinda au Kutoshinda litabaki kwa wajumbe wenyewe na prudence yao.

Hoja ya MSINGI ni jopo la JK lina watu kama 5 au saba hivi; mpaka sasa wamezunguka nchi kama saba na bado safari inasonga mbele; DHUMUNI HASA za safari hii ni KUSUKUMA KETE YA JANABI…. That is all na huo ndio Ujumbe wa Rais Mama

Hapa kuna perdiems, travel cost , Accomodations , emergency fund , travel suits cost and all that ….

Ikumbukwe pia hizi ni Presidential cost and VIP cost . JK Huwezi kumlaza hotel ya dola 1000, impossible he is a former president… he still holds country ‘s secrets

Je hizi gharama zote zinatoka wapi?

Kulipa watu wote hao ? Je kuna umuhimu wa kusafiri na hiyo nyomi?

Matumizi ya hizi fedha ana audit nani?

Je ni fungu gani linatumika ukilinganisha na umuhimu wa hiyo Nafasi kwa wananchi Watanzania ambao hadi leo hawana matundu ya choo , maji etc ?

Kila kitu cha WHO kinaamuliwa GENEVA, huko Africa ni ku implement what has been decided….all bugdets ya WHO inakuwa planned Geneva….Siyo nafasi yenye impact yoyote kwa MTANZANIA wa chini;

Je Gharama za jopo lote hilo ni kwa sababu ya USHIKAJI wa hawa watatu urafiki na udugu wao hadi kutia kodi z Watanzania kiasi Hiko?

Serikali ya Sasa inamatumizi mabaya sana ya fedha hakika; ni kama nchi imepoteza internal control system upande wa Financial kabisa. Haya ndio mahela tunasikia yamekusanywa na TRA na hayaonekani yalipo.

Dr Megalodon Mushi
Canada

View attachment 3307697
Sina shida na Janabi, ila nikiangalia wanaompigia debe natamani afeli
 
Sasa mtu kavaa libangiri mkononi....what do you expect..?

Wathungu sio wa hzo Imani....watatupa kapumu hii mtu
 
Ni wakati wa kujua haki zenu na kupigania. Mambo kama haya hayahitaji utani. Huu ni unyama wa hali ya juu na ndiyo maana tunasema bila CCM kuondoshwa watanzania wataendelea kuteseka. Na mbaya zaidi hata akishinda hakuna faida ya maana kulinganisha na gharama zinazotumika.
Point
 
Hamjui faida ya mtanzania kuwa katika hizo taasisi za kimataifa. Hamjawahi kusikia nchi mbali mbali zinafanya kampeni watu wao wapewe hizo nyadhifa?
Roho za kutu ni anguko kubwa kwa jamii
Kuna Roho ya kutu nyingine zaidi ya ile ya kujibinafsisha Uchaguzi?
 
Back
Top Bottom