Marehemu alishinda bila mbwembwe hizi. Hii inataka kamaanisha kwamba Prof Janabi ni dhaifu kiasi lazima apiganiwe kama mtoto njiti??Kete ya Janabi inasukumwa kibabe sana. Suala la yeye Kushinda au Kutoshinda litabaki kwa wajumbe wenyewe na prudence yao.
Hoja ya MSINGI ni jopo la JK lina watu kama 5 au saba hivi; mpaka sasa wamezunguka nchi kama saba na bado safari inasonga mbele; DHUMUNI HASA za safari hii ni KUSUKUMA KETE YA JANABI…. That is all na huo ndio Ujumbe wa Rais Mama
Hapa kuna perdiems, travel cost , Accomodations , emergency fund , travel suits cost and all that ….
Ikumbukwe pia hizi ni Presidential cost and VIP cost . JK Huwezi kumlaza hotel ya dola 1000, impossible he is a former president… he still holds country ‘s secrets
Je hizi gharama zote zinatoka wapi?
Kulipa watu wote hao ? Je kuna umuhimu wa kusafiri na hiyo nyomi?
Matumizi ya hizi fedha ana audit nani?
Je ni fungu gani linatumika ukilinganisha na umuhimu wa hiyo Nafasi kwa wananchi Watanzania ambao hadi leo hawana matundu ya choo , maji etc ?
Kila kitu cha WHO kinaamuliwa GENEVA, huko Africa ni ku implement what has been decided….all bugdets ya WHO inakuwa planned Geneva….Siyo nafasi yenye impact yoyote kwa MTANZANIA wa chini;
Je Gharama za jopo lote hilo ni kwa sababu ya USHIKAJI wa hawa watatu urafiki na udugu wao hadi kutia kodi z Watanzania kiasi Hiko?
Serikali ya Sasa inamatumizi mabaya sana ya fedha hakika; ni kama nchi imepoteza internal control system upande wa Financial kabisa. Haya ndio mahela tunasikia yamekusanywa na TRA na hayaonekani yalipo.
Dr Megalodon Mushi
Canada
View attachment 3307697
Ni wakati wa kujua haki zenu na kupigania. Mambo kama haya hayahitaji utani. Huu ni unyama wa hali ya juu na ndiyo maana tunasema bila CCM kuondoshwa watanzania wataendelea kuteseka. Na mbaya zaidi hata akishinda hakuna faida ya maana kulinganisha na gharama zinazotumika.mkuu kuwa tuu mpolee watu wajivunie shamba la bibi bibi mama kizimkazi oyee.
Na hizo gharama zitarudije? Hiko cheo kina faida gani kwa Tanzania?Kete ya Janabi inasukumwa kibabe sana. Suala la yeye Kushinda au Kutoshinda litabaki kwa wajumbe wenyewe na prudence yao.
Hoja ya MSINGI ni jopo la JK lina watu kama 5 au saba hivi; mpaka sasa wamezunguka nchi kama saba na bado safari inasonga mbele; DHUMUNI HASA za safari hii ni KUSUKUMA KETE YA JANABI…. That is all na huo ndio Ujumbe wa Rais Mama
Hapa kuna perdiems, travel cost , Accomodations , emergency fund , travel suits cost and all that ….
Ikumbukwe pia hizi ni Presidential cost and VIP cost . JK Huwezi kumlaza hotel ya dola 1000, impossible he is a former president… he still holds country ‘s secrets
Je hizi gharama zote zinatoka wapi?
Kulipa watu wote hao ? Je kuna umuhimu wa kusafiri na hiyo nyomi?
Matumizi ya hizi fedha ana audit nani?
Je ni fungu gani linatumika ukilinganisha na umuhimu wa hiyo Nafasi kwa wananchi Watanzania ambao hadi leo hawana matundu ya choo , maji etc ?
Kila kitu cha WHO kinaamuliwa GENEVA, huko Africa ni ku implement what has been decided….all bugdets ya WHO inakuwa planned Geneva….Siyo nafasi yenye impact yoyote kwa MTANZANIA wa chini;
Je Gharama za jopo lote hilo ni kwa sababu ya USHIKAJI wa hawa watatu urafiki na udugu wao hadi kutia kodi z Watanzania kiasi Hiko?
Serikali ya Sasa inamatumizi mabaya sana ya fedha hakika; ni kama nchi imepoteza internal control system upande wa Financial kabisa. Haya ndio mahela tunasikia yamekusanywa na TRA na hayaonekani yalipo.
Dr Megalodon Mushi
Canada
View attachment 3307697
Sipati picha hayo makomvoyiNi wakati wa kujua haki zenu na kupigania. Mambo kama haya hayahitaji utani. Huu ni unyama wa hali ya juu na ndiyo maana tunasema bila CCM kuondoshwa watanzania wataendelea kuteseka. Na mbaya zaidi hata akishinda hakuna faida ya maana kulinganisha na gharama zinazotumika.
😅😅😅Huyo tuna kazi naye,
SI vyema kumficha huko mbali, hivyo hashindi.
Nilitaka ni comment kitu lakini basi. Ngoja tusubiri matokeo kwanza.Marehemu alishinda bila mbwembwe hizi. Hii inataka kamaanisha kwamba Prof Janabi ni dhaifu kiasi lazima apiganiwe kama mtoto njiti??
Kwa dhana hii inaonyesha Jababi ni dhaifu kuliko mjinga wa kawaida.
Na Kwa udahifu huo anakwenda kupigwa asubuhi na mapema.
Akipigwa ni aibu Kwa timu nzima
Kwenye hizi safari hapo kuna mpunga utapigwa sana as justification ni SAFARINi wakati wa kujua haki zenu na kupigania. Mambo kama haya hayahitaji utani. Huu ni unyama wa hali ya juu na ndiyo maana tunasema bila CCM kuondoshwa watanzania wataendelea kuteseka. Na mbaya zaidi hata akishinda hakuna faida ya maana kulinganisha na gharama zinazotumika.
Ngosha nae alikufa mapema snaa bhana. Huyu mama hakuwahi hata kuwa na ndoto ya kuwa Rais ….Mi nakuhakikishia kati ya tawala zoote tuliyokula hasara wananchi ni huu utawala wa mama...kinachoumiza zaidi eti anakomaa aendelee kuwa rais kwa term ingine 5 yrs!
Kiukweli utawala wa kurithi ungemtosha kabisa, tamaa huku uwezo hana!.
Hivi huyu bwana hii silaha ni ya kazi ganiKete ya Janabi inasukumwa kibabe sana. Suala la yeye Kushinda au Kutoshinda litabaki kwa wajumbe wenyewe na prudence yao.
Hoja ya MSINGI ni jopo la JK lina watu kama 5 au saba hivi; mpaka sasa wamezunguka nchi kama saba na bado safari inasonga mbele; DHUMUNI HASA za safari hii ni KUSUKUMA KETE YA JANABI…. That is all na huo ndio Ujumbe wa Rais Mama
Hapa kuna perdiems, travel cost , Accomodations , emergency fund , travel suits cost and all that ….
Ikumbukwe pia hizi ni Presidential cost and VIP cost . JK Huwezi kumlaza hotel ya dola 1000, impossible he is a former president… he still holds country ‘s secrets
Je hizi gharama zote zinatoka wapi?
Kulipa watu wote hao ? Je kuna umuhimu wa kusafiri na hiyo nyomi?
Matumizi ya hizi fedha ana audit nani?
Je ni fungu gani linatumika ukilinganisha na umuhimu wa hiyo Nafasi kwa wananchi Watanzania ambao hadi leo hawana matundu ya choo , maji etc ?
Kila kitu cha WHO kinaamuliwa GENEVA, huko Africa ni ku implement what has been decided….all bugdets ya WHO inakuwa planned Geneva….Siyo nafasi yenye impact yoyote kwa MTANZANIA wa chini;
Je Gharama za jopo lote hilo ni kwa sababu ya USHIKAJI wa hawa watatu urafiki na udugu wao hadi kutia kodi z Watanzania kiasi Hiko?
Serikali ya Sasa inamatumizi mabaya sana ya fedha hakika; ni kama nchi imepoteza internal control system upande wa Financial kabisa. Haya ndio mahela tunasikia yamekusanywa na TRA na hayaonekani yalipo.
Dr Megalodon Mushi
Canada
View attachment 3307697
Kiungo mkata umemeHuyo tuna kazi naye,