Hii Kete ya Janabi inavosukumwa ni VEMA lakini Gharama za kuzunguka manchi yote zinatoka wapi?

Na hizo gharama zitarudije? Hiko cheo kina faida gani kwa Tanzania?
Cheo kinaenda faidisha yeye na familia yake . Hakuna benefit mnayopata kama Taifa . Akipata hilo ni shavu lake yeye na
Mke wake. Hata kodi ya Utumishi itakatwa na wao wenyewe. Ni kama SSC akienda fainal ….. kuna kitu mtanzania anapata? 🤣
 
Nchi ilipiga kampeni marehemu akashinda, acheni ujuaji
 
Sidhani kama zingekuwa hela zake angezurura kama anavyozurura,pesa za wanuka jasho hazina dhamani hata siku Moja.
 
Serikali ya Sasa inamatumizi mabaya sana ya fedha hakika; ni kama nchi imepoteza internal control system upande wa Financial kabisa. Haya ndio mahela tunasikia yamekusanywa na TRA na hayaonekani yalipo.
Aisee Naatombe mushi so kwa jinsi unavyoongea ni Kama tupate jpm mwingine Mana hasira na hela zetu zinavyotumika vibaya ama ungekuwa wewe kweli ungekataa kinachofanyika saivi kweli. Assume www uwe janabi then ungeongea ulichoandika hapa
 
Aisee Naatombe mushi so kwa jinsi unavyoongea ni Kama tupate jpm mwingine Mana hasira na hela zetu zinavyotumika vibaya ama ungekuwa wewe kweli ungekataa kinachofanyika saivi kweli. Assume www uwe janabi then ungeongea ulichoandika hapa
Upo sahihi : lakini hiyo sio justification and issues cannot be discussed kwa perspective hiyo
 
Hamjui faida ya mtanzania kuwa katika hizo taasisi za kimataifa. Hamjawahi kusikia nchi mbali mbali zinafanya kampeni watu wao wapewe hizo nyadhifa?
Roho za kutu ni anguko kubwa kwa jamii
 
Hii kitu hata mimi nashangaa marehemu sijui alifanyaje akashinda maana kwanza hakukuwa na kelele ilishtukizwa tu kuwa mshindi ni marehemu sasa hawa kina janabi na japo late hili ni kuhakikisha tu tunabaki na nafasi yetu au kuna maslahi zaidi acha tuone..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…