Hii Kete ya Janabi inavosukumwa ni VEMA lakini Gharama za kuzunguka manchi yote zinatoka wapi?

Kampeni ilifanyika ila haikujulikana Kwa sababu tulikuwa hatujuia kama Kuna uchaguzi.

Ujumbe maalum ulitumwa sana umy mwalimu akiwa waziri.

Pia siku ya msiba Kikwete na Halima mdee walisema kuwa kampeni walifanya.

Hii tunaona na tunajua Kwa sababu inajulikana kwamba Kuna uchaguzi.
 
Analipa fadhila kwa kazi aliyompa 2019-2021 aliitekeleza vyema na yeye kurudi usukani.

Hayo mahela wanayohangaika kutumia si wangempa na akaendelea na kazi yake Mhimbili, au wanataka na huko wawe wanamtumia ku Israel viongozi wa.........?
 
Hamna unachojua
 
Kampeni gani ? Ulijua lini kama fau anagombea UDG ?

Wewe ulipiga kampeni ? Au nchi gani 😹
Kampeni ilifanyika ila haikujulikana Kwa sababu tulikuwa hatujui kama Kuna uchaguzi.

Ujumbe maalum ulitumwa sana umy mwalimu akiwa waziri.

Pia siku ya msiba Kikwete na Halima mdee walisema kuwa kampeni walifanya.

Hii tunaona na tunajua Kwa sababu inajulikana kwamba Kuna uchaguzi.
 
Ngosha nae alikufa mapema snaa bhana. Huyu mama hakuwahi hata kuwa na ndoto ya kuwa Rais ….

Ilipaswa makamu akae only 3 months then ufanyike uchaguzi mdogo

Yaani wameweka Tozo kila mahal , wanakopa na nchi haina pesa dah
WAlioandika katiba 1977 baadhi ya mambo walaaniwe.
 
Mi nakuhakikishia kati ya tawala zoote tuliyokula hasara wananchi ni huu utawala wa mama...kinachoumiza zaidi eti anakomaa aendelee kuwa rais kwa term ingine 5 yrs!
Kiukweli utawala wa kurithi ungemtosha kabisa, tamaa huku uwezo hana!.
Una roho mbaya tu..
 
Nchi ilipiga kampeni marehemu akashinda, acheni ujuaji
Ruto naye alimpigia Kampeni Odinga cheo cha AU akashindwa na Aliye wahi kuwa Waziri Wa Djibouti. Ndugu alifanyiwa Kampeni lakini sio ya kiwango hichi.
 
Tunapenda vya kurithi ndio Haki zetu.
 
Ngosha nae alikufa mapema snaa bhana. Huyu mama hakuwahi hata kuwa na ndoto ya kuwa Rais ….

Ilipaswa makamu akae only 3 months then ufanyike uchaguzi mdogo

Yaani wameweka Tozo kila mahal , wanakopa na nchi haina pesa dah
Hivi ndio jinsi deni la Taifa linavyozidi kupaa; watu wanatumia forex kwa mambo ya hovyo halafu wanatutwisha zigo la madeni kwenda kukopa!
Kikwete anadhani Huyu Daktari wake akienda huko atampatia dawa ya tezi dume lake🤷🏻‍♂️😂!!! Ignorant .
 
Yule wa ukweli alishinda bila matangazo wala P A yaani walielewa somo wenyewe ........hila huyu mbona kama kuna ka ukakasi ka nanasi ...........je wadhungu wamegoma kumuelewa na formula zake za uji na mihogo ?? USHAURI: HIZO PESA WANAZO TUMIA KUFUND SAFARI NA VIFUNGASHIO VYOTE NI BORA WAPUNGUZE KWANZA GHARAMA ZA JUU PALE MUHIMBILI WATU TU MPAKA KUTOA MAITI INAKUWA KAMA ILIENDA KUEKWA ROHO MPYA KANA KWAMBA MAREHEMU ALIKUWA SERVICE............IKISHINDIKANA MWAMBIENI ATAJE JINA LA MWALIMU WANGU WA CHEKECHEA PALE SONGEA MWAKA 78........ LA SIVYO KILE CHEO ATAKISIKIA KWA WENGINE TU KAMA TRUMP KUONGEA KISWAHILI HADHARANI..............@...la vista Argentina 🇦🇷
 
Faida ni kwa mama kupata ujiko. Kwani nchi imefaidika nini na hizi 10m za goli la mama?
 
Tayari, chadema wameshafika kwa ajili ya kulaumu na kupinga. Aisee hawa watu, dah!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…