Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,834
- 5,310
One man saidKete ya Janabi inasukumwa kibabe sana. Suala la yeye Kushinda au Kutoshinda litabaki kwa wajumbe wenyewe na prudence yao.
Hoja ya MSINGI ni jopo la JK lina watu kama 5 au saba hivi; mpaka sasa wamezunguka nchi kama saba na bado safari inasonga mbele; DHUMUNI HASA za safari hii ni KUSUKUMA KETE YA JANABI…. That is all na huo ndio Ujumbe wa Rais Mama
Hapa kuna perdiems, travel cost , Accomodations , emergency fund , travel suits cost and all that ….
Ikumbukwe pia hizi ni Presidential cost and VIP cost . JK Huwezi kumlaza hotel ya dola 1000, impossible he is a former president… he still holds country ‘s secrets
Je hizi gharama zote zinatoka wapi?
Kulipa watu wote hao ? Je kuna umuhimu wa kusafiri na hiyo nyomi?
Matumizi ya hizi fedha ana audit nani?
Je ni fungu gani linatumika ukilinganisha na umuhimu wa hiyo Nafasi kwa wananchi Watanzania ambao hadi leo hawana matundu ya choo , maji etc ?
Kila kitu cha WHO kinaamuliwa GENEVA, huko Africa ni ku implement what has been decided….all bugdets ya WHO inakuwa planned Geneva….Siyo nafasi yenye impact yoyote kwa MTANZANIA wa chini;
Je Gharama za jopo lote hilo ni kwa sababu ya USHIKAJI wa hawa watatu urafiki na udugu wao hadi kutia kodi z Watanzania kiasi Hiko?
Serikali ya Sasa inamatumizi mabaya sana ya fedha hakika; ni kama nchi imepoteza internal control system upande wa Financial kabisa. Haya ndio mahela tunasikia yamekusanywa na TRA na hayaonekani yalipo.
Dr Megalodon Mushi
Canada
View attachment 3307697
Kwa hiyo ccm hatuna tena uchungu na fedha za umma?.Tayari, chadema wameshafika kwa ajili ya kulaumu na kupinga. Aisee hawa watu, dah!!!
Mkuu Dr. Megalo, Megalodon , kinachofanyika ni lobbying and advocacy, unapotaka jambo lako, huwezi kuepuka gharama!.Hapa kuna perdiems, travel cost , Accomodations , emergency fund , travel suits cost and all that ….
Je hizi gharama zote zinatoka wapi?
Yes ni muhimu for visibilityKulipa watu wote hao ? Je kuna umuhimu wa kusafiri na hiyo nyomi?
Yana auditiwa na CAGMatumizi ya hizi fedha ana audit nani?
Ni Vote 20Je ni fungu gani linatumika
Matundu ya choo yanaweza kuchimbwa wakati wowote wakati hii nafasi ni just a one time chance!, kwa sasa tunaweza kuchimba tundu moja, akishinda yeye tuu kwa fedha zake, anaweza kuchimba matundu 100!ukilinganisha na umuhimu wa hiyo Nafasi kwa wananchi Watanzania ambao hadi leo hawana matundu ya choo , maji etc ?
No ni faida kwa nchi!.Je Gharama za jopo lote hilo ni kwa sababu ya USHIKAJI wa hawa watatu urafiki na udugu wao hadi kutia kodi z Watanzania kiasi Hiko?
Hata serikali za nyuma ziliwahi kuwa na matumizi mabaya, Richmond, Dowans, Simbion, IPTL, EPA, Meremeta, DCP, Tangold, Bunge maalum la katiba, Tume ya Warioba, Kikosi Kazi, etc etc, hivyo hii sio mara ya kwanza kwa serikali yetu kufanya matumizi mabaya ya fedha za umma na sio mara ya mwisho!.Serikali ya Sasa inamatumizi mabaya sana ya fedha hakika; ni kama nchi imepoteza internal control system upande wa Financial kabisa. Haya ndio mahela tunasikia yamekusanywa na TRA na hayaonekani yalipo.
Dr Megalodon Mushi
Canada
Mstari wa Mgombea kushinda ni Mwembamba sana.Tayari, chadema wameshafika kwa ajili ya kulaumu na kupinga. Aisee hawa watu, dah!!!
Haha ,unaonaje unavyojianika mweupe kumbe hata roho hauifahamu .Roho mbaya ? Unaijui roho?
Anatumia kodi za wananchi kujitafutia ajira ya shirika la afya.Ni wakati wa kujua haki zenu na kupigania. Mambo kama haya hayahitaji utani. Huu ni unyama wa hali ya juu na ndiyo maana tunasema bila CCM kuondoshwa watanzania wataendelea kuteseka. Na mbaya zaidi hata akishinda hakuna faida ya maana kulinganisha na gharama zinazotumika.
Mtu wenu hana mvuto ndio maana mnatumia force kubwa!Mstari wa Mgombea kushinda ni Mwembamba sana.
7 ushindi wake mwembamba sanaMtu wenu hana mvuto ndio maana mnatumia force kubwa!
Tuheshimu mawazo tofauti. Nyie si Mnasema no reform no election ni Uhaini…. Tunaheshimu pia mtazamo wenu finyuTayari, chadema wameshafika kwa ajili ya kulaumu na kupinga. Aisee hawa watu, dah!!!
Yeah, sitokosa. Nitakuwa pembeni pale nawangalia makamanda mnavyokuja kuitikisa nchi.......nani kama makamanda nyie nchi hii.Tuheshimu mawazo tofauti. Nyie si Mnasema no reform no election ni Uhaini…. Tunaheshimu pia mtazamo wenu finyu
Mada haina uhusiano na Chadema
Hakikisha haukosekani
Pale kisutu tar 24
Pamoja na GHARAMA zote hizo huyu Dr Mohamed Janabi HATOBOI.Kete ya Janabi inasukumwa kibabe sana. Suala la yeye Kushinda au Kutoshinda litabaki kwa wajumbe wenyewe na prudence yao.
Hoja ya MSINGI ni jopo la JK lina watu kama 5 au saba hivi; mpaka sasa wamezunguka nchi kama saba na bado safari inasonga mbele; DHUMUNI HASA za safari hii ni KUSUKUMA KETE YA JANABI…. That is all na huo ndio Ujumbe wa Rais Mama
Hapa kuna perdiems, travel cost , Accomodations , emergency fund , travel suits cost and all that ….
Ikumbukwe pia hizi ni Presidential cost and VIP cost . JK Huwezi kumlaza hotel ya dola 1000, impossible he is a former president… he still holds country ‘s secrets
Je hizi gharama zote zinatoka wapi?
Kulipa watu wote hao ? Je kuna umuhimu wa kusafiri na hiyo nyomi?
Matumizi ya hizi fedha ana audit nani?
Je ni fungu gani linatumika ukilinganisha na umuhimu wa hiyo Nafasi kwa wananchi Watanzania ambao hadi leo hawana matundu ya choo , maji etc ?
Kila kitu cha WHO kinaamuliwa GENEVA, huko Africa ni ku implement what has been decided….all bugdets ya WHO inakuwa planned Geneva….Siyo nafasi yenye impact yoyote kwa MTANZANIA wa chini;
Je Gharama za jopo lote hilo ni kwa sababu ya USHIKAJI wa hawa watatu urafiki na udugu wao hadi kutia kodi z Watanzania kiasi Hiko?
Serikali ya Sasa inamatumizi mabaya sana ya fedha hakika; ni kama nchi imepoteza internal control system upande wa Financial kabisa. Haya ndio mahela tunasikia yamekusanywa na TRA na hayaonekani yalipo.
Dr Megalodon Mushi
Canada
View attachment 3307697
Uwoga tuHivi huyu bwana hii silaha ni ya kazi gani
Mkuu,umezungumzia mambo ya matumizi mabaya ya fedha za umma kama Richmond, IPTL etc. Hili na kumpigia debe huyu jamaa kwa kiwango cha kutisha huoni ni ufisadi pia?Mkuu Dr. Megalo, Megalodon , kinachofanyika ni lobbying and advocacy, unapotaka jambo lako, huwezi kuepuka gharama!.
Fedha ni za serikali yetu ya JMT
Yes ni muhimu for visibility
Yana auditiwa na CAG
Ni Vote 20
Matundu ya choo yanaweza kuchimbwa wakati wowote wakati hii nafasi ni just a one time chance!, kwa sasa tunaweza kuchimba tundu moja, akishinda yeye tuu kwa fedha zake, anaweza kuchimba matundu 100!
No ni faida kwa nchi!.
Hata serikali za nyuma ziliwahi kuwa na matumizi mabaya, Richmond, Dowans, Simbion, IPTL, EPA, Meremeta, DCP, Tangold, Bunge maalum la katiba, Tume ya Warioba, Kikosi Kazi, etc etc, hivyo hii sio mara ya kwanza kwa serikali yetu kufanya matumizi mabaya ya fedha za umma na sio mara ya mwisho!.
P
Hivyo ni vijisenti usiteseke bureKete ya Janabi inasukumwa kibabe sana. Suala la yeye Kushinda au Kutoshinda litabaki kwa wajumbe wenyewe na prudence yao.
Hoja ya MSINGI ni jopo la JK lina watu kama 5 au saba hivi; mpaka sasa wamezunguka nchi kama saba na bado safari inasonga mbele; DHUMUNI HASA za safari hii ni KUSUKUMA KETE YA JANABI…. That is all na huo ndio Ujumbe wa Rais Mama
Hapa kuna perdiems, travel cost , Accomodations , emergency fund , travel suits cost and all that ….
Ikumbukwe pia hizi ni Presidential cost and VIP cost . JK Huwezi kumlaza hotel ya dola 1000, impossible he is a former president… he still holds country ‘s secrets
Je hizi gharama zote zinatoka wapi?
Kulipa watu wote hao ? Je kuna umuhimu wa kusafiri na hiyo nyomi?
Matumizi ya hizi fedha ana audit nani?
Je ni fungu gani linatumika ukilinganisha na umuhimu wa hiyo Nafasi kwa wananchi Watanzania ambao hadi leo hawana matundu ya choo , maji etc ?
Kila kitu cha WHO kinaamuliwa GENEVA, huko Africa ni ku implement what has been decided….all bugdets ya WHO inakuwa planned Geneva….Siyo nafasi yenye impact yoyote kwa MTANZANIA wa chini;
Je Gharama za jopo lote hilo ni kwa sababu ya USHIKAJI wa hawa watatu urafiki na udugu wao hadi kutia kodi z Watanzania kiasi Hiko?
Serikali ya Sasa inamatumizi mabaya sana ya fedha hakika; ni kama nchi imepoteza internal control system upande wa Financial kabisa. Haya ndio mahela tunasikia yamekusanywa na TRA na hayaonekani yalipo.
Dr Megalodon Mushi
Canada
View attachment 3307697
Troure awe makini sana na hicho kichwa. Ukikiangalia kama kinamtamani fulani hivi.Kete ya Janabi inasukumwa kibabe sana. Suala la yeye Kushinda au Kutoshinda litabaki kwa wajumbe wenyewe na prudence yao.