Hii Kete ya Janabi inavosukumwa ni VEMA lakini Gharama za kuzunguka manchi yote zinatoka wapi?

Sina shida na Janabi, ila nikiangalia wanaompigia debe natamani afeli
 
Sasa mtu kavaa libangiri mkononi....what do you expect..?

Wathungu sio wa hzo Imani....watatupa kapumu hii mtu
 
Point
 
Hamjui faida ya mtanzania kuwa katika hizo taasisi za kimataifa. Hamjawahi kusikia nchi mbali mbali zinafanya kampeni watu wao wapewe hizo nyadhifa?
Roho za kutu ni anguko kubwa kwa jamii
Kuna Roho ya kutu nyingine zaidi ya ile ya kujibinafsisha Uchaguzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…