Hii kisheria imekaaje? Je ni sawa kumuanika muharifu namna hii?

Wanakua washachoka nae, polisi sio wajinga.
Polisi huwa wanawajua wahalifu muda mwingine na kuwaonya mara kadhaa.
 
Ni vizuri kwa abiria akiwa karibu yako unakuwa na tahadhari
 
Jamaa mbona kama afisa wa tra kumbe kibaka duuuh
Hawa wezi dizaini hii ndio wananyandua sana mabeki tatu wetu kwa kuwadanganya kuwa nao ni maafisa kwenye vitengo nyeti kumbe wezi tu kwenye mwendo kasi au panya road.
Yaani hawa wezi akikamatwa eneo la tukio apate kipigo cha hadhi yake hadi pumbu zilegee tepetepe.
 
Ilikatwa Nakumbuka Mstaafu Muroto Aliipenda
 
Mtu kila kukikucha anazunguka kwa mwendokasi tuu hakosi kupiga mtu tukio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…