Hii kitu huwa inauma lakini pia huwa inahamasisha kupambana

Hii kitu huwa inauma lakini pia huwa inahamasisha kupambana

Nafikiri unapaswa kujua watu watoka katika familia tofauti na pia wengine pia wanafanya biashara haramu kama UMUGHAKA zamani.
Kuna jamaa mmoja alipomaliza chuo mzazi wake alimpatia mtaji wa 80M cash kama mtaji na bado anamsapoti..
Cha msingi shinda mechi zako na usitamani maisha ya mtu kwa kuangalia kijuu juu
Weka malengo yako na ujapambanie wala usijilinganishe na maisha za watu utajiona bure kabisa
 
Pole sana mkuu.
Huko huko kijijini wakati ukitafuta kazi, jitahidi na kamata ekari hata 500 na panda miti.
Utanishukuru baada ya miaka 10.
Wewe emekuaambia hata pocket money, nauli ya daladala pale mjini anagongea halafu unaongea habari za hekari 500!!!
 
Back
Top Bottom