Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda tu nikujuze,huu ugonjwa wenye maambukizi makubwa sio Malaya wanaojiuza au Machangudoa wao wako makini sana na matumizi ya kinga,pili muda unaojisifia bao mbili lisaa hawapo hivyo wanataka upige tako tatu la nne mpira kati huo ufundi mpelekee mkeo,Tatizo hapa wahanga ni watoto wa geti Kali wanaopewa ruhusa kwenda kutembea siku za sikukuu mara mojamoja na wake za watu hawajui chochote kuhusu kinga pia nyege zinakua lumbesa huku wakiwahi muda wa kurudi kwa hiyo chapu tena kavukuva wanapiga misamba kuliko maninja na popote ni fursa hata kwenye majumba yasiyoisha au magari mabovu wanainamishwa hoovyo huku hamna anaewahofia kila mtu anawaona salama,hata ww usingetusumbua kama ungemuona ametokea geti kali au uswazi ya uchumi wa kati.
Check this;
akaniomba Nauli nkamwambia niko mweupe(which was true)
Vitu vinafanya niamini hakuwa
1.hakuniomba hata mia wala bia
Koo hao ulowatag ndo wanajua kama mwenzao anao oh nah?
wrong nigga, you live everyday and u die once... i believe huenda mkakutana tena if u are meant, by then be friends if it happens utapata kumjua vzuri ila sio kwa kuuliza humu... kuna mademu they have a bitchy character ila kiuhalisia they are loyal and shit!!Hizi ni akili za usiku zile za YOLO
wrong nigga, you live everyday and u die once... i believe huenda mkakutana tena if u are meant, by then be friends if it happens utapata kumjua vzuri ila sio kwa kuuliza humu... kuna mademu they have a bitchy character ila kiuhalisia they are loyal and shit!!
Hiyo fact umeitoa wapi? Probability ya malaya kutokuwa na Ukimwi pia inaweza kuwa kubwa kwa sababu wanajali afya zao na uchi wao ndiyo kipato chao.ila probability ya malaya kuwa na ukimwi ni kubwa approx ~1