Hii kitu imekaaje?


At least unanipa tumaini tudogo tudogo
 
Koo hao ulowatag ndo wanajua kama mwenzao anao oh nah?
 
Hizi ni akili za usiku zile za YOLO
wrong nigga, you live everyday and u die once... i believe huenda mkakutana tena if u are meant, by then be friends if it happens utapata kumjua vzuri ila sio kwa kuuliza humu... kuna mademu they have a bitchy character ila kiuhalisia they are loyal and shit!!
 
Unawezajw Kurisk Maisha yako kwa Utamu wa usiku mmoja..???
 
Huyo alikuwa anataka kupunguza genye siyo Malaya mtafuta hela...angekuwa mtafuta hela ungelipia huduma....kapime baada ya miezi 3,
 
Trust me or not..UMESHAAMBUKIZWA NGOMA.
utanipa majibu
 
Itabidi tuwashauri dada zetu wakiwa wanaenda clubs wavae madera na magauni marefu ya vitenge ili wasionekane malaya mbele ya macho ya malaya.
 
Una uhakika hakukuomba hata mia?

Hiyo nauli aliomba asbh tena kama matani...malaya wengi ni prepaid yani pay then pata huduma
Na kuomba nauli mbn hata dem ata wife anaomba naul shifre tu
 
Ulimaanisha nn kusema hakukuomba hata mia, unataka kuniambia nauli sio pesa? When the deal is too good, think twice
 

That’s possible or maybe anaweza kuwa just a good liar
 
Itabidi tuwashauri dada zetu wakiwa wanaenda clubs wavae madera na magauni marefu ya vitenge ili wasionekane malaya mbele ya macho ya malaya.

Huo sasa utakuwa uhujumu uchumi
 
Ulimaanisha nn kusema hakukuomba hata mia, unataka kuniambia nauli sio pesa? When the deal is too good, think twice

Sasa nauli si jero tu ndugu yangu,,,mbn dem wako unamlipiaga go and return
 
Kwenye 500 kuna miamia ngapi? Halafu huyo demu wangu ulimsikia wapi akiomba nauli
 
Kikubwa ni kuwa jiandae baada ya miezi mitatu ukachek afya, unaweza kuwa umetembelewa na mgeni kutoka wizara ya nishati na kuunganishiwa umeme bure bila malipo
 
ila probability ya malaya kuwa na ukimwi ni kubwa approx ~1
Hiyo fact umeitoa wapi? Probability ya malaya kutokuwa na Ukimwi pia inaweza kuwa kubwa kwa sababu wanajali afya zao na uchi wao ndiyo kipato chao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…