Hii kitu imekaaje?

Kwahiyo unafikiria hores peke yao ndio wanapata UKIMWI?jiulize hayo yote alioyafanya alijifunzia wapi?mwanamke mpaka ameweza kuja club peke yake hizo guts kazitoa wapi?subiri miezi mitatu ipite ukapime,inawezekana ukawa salama,acha zinaa,haijawahi kumuacha mtu salama...
 
Yaani unasema probability ya malaya kuwa na Ukimwi ni kubwa unasahau wateja wao!

Sikiliza dogo, mambo haya ya general knowledge mnatakiwa muwe mnajifunza. Si kukariri modules tu. Takwimu za maambuki kwa mfano ziko wazi sana na sababu kubwa inayochangia ni ngono zembe na haijasemwa ni malaya. Umeshawahi kujiuliza kwa nini Njombe ina maambukizi makubwa Nchini? Kama ni umalaya inazidi unaofanyika Dar, Arusha au Mwanza?


Halafu wakati unapoteza muda hapa na kusubiri miezi mitatu ni bora uende hospitali kupata PEP kwa mwezi mmoja ili uwe na hakika hautapata maambukizi. Ni rahisi sana kuelezea sasa hivi (kama ni kweli) kuliko maisha yako yatakavyobadilika baada ya hiyo miezi mitatu ukakutwa na maambukizi.
 
Hiyo fact umeitoa wapi? Probability ya malaya kutokuwa na Ukimwi pia inaweza kuwa kubwa kwa sababu wanajali afya zao na uchi wao ndiyo kipato chao.

Tanzania almost 5% ya population wana ukimwi
Meaning probability ya kukutana na mtu mwenye ukimwi ni 0.05(kwa mtu wa kawaida)
Sasa chances za malaya kupata ukimwi ni mara 13 ya mtu wa kawaida
Hivo ni 0.05*13 = 0.65
Kwahiyo probability ya malaya kupata ukimwi kwa encounter moja mteja wake ni 0.65
Sasa ata akiwa na wateja wawili tu tayari probability ya yeye kuupata itaongezeka
Ndo maana nikasema overall probability ya malaya (huwa wana wateja hata 10 kwa siku) ni almost 1

References
United Republic of Tanzania
 

Attachments

  • IMG_0887.png
    362.3 KB · Views: 1

PEP naskia mwisho wa kufanya kazi ni 72 hours ambazo nimeshapita
 
Sasa nauli si jero tu ndugu yangu,,,mbn dem wako unamlipiaga go and return

Ningeapload picha yake uone alivo hamisa mobeto halafu uniambie kama anaweza kuuza uchi kwa jero
Sema mods watanitembelea
 
Hizi mambo zipo mzee! Umegumiana na manzi iliyotoroka kwao kisa ukakasi umezidi we ukainasa na yeye amefanya juu chini amalize ukakasi wake, very simple...
 
Ho or not ukimwi upo kote kuna wadada wa watu wametulia na waliambukizwa na waruka njia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…