Hii Kluger New Model nimeilewa sana

Hii Kluger New Model nimeilewa sana

Sifa zake zinaweza kumCost mmiliki kwa namna moja au myingine.

Acheni hizo tabia za kiswahili.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Hapo unaposema sifa zake zitamcost mmiliki ndo uswahili wako ulipo
Kwamba atafukuzwa kazi kwa ubadhirifu? , Au ndo watu watamloga ?
Bado unaishi zile zama za kuwa ukisema kwenu kuna Tv ,basi wezi watawavamia?, na utandawazi wote huu bado unataka kufichaficha mambo kama wachawi? , Hilo garo kwa lilivyo unique kwa picha hiyo tu kuna watu wanaweza kukueleza hadi ofisi linayo paki let alone nyumba linapokaa , ina good way though

Shule ni maarifa uliyobaki nayo kichwani baada ya kumaliza , sio vyeti ulivyorundika kabatini.
 
sasa mtu kaona kitu kakipenda na kakisifia na ukweli ni kitu kizuri alafu huyo msomi anaona kama kafaidi
bora tubakie na ngumbaru yetu
wana mbwembwe sana
Unajifanya 'much know' kumbe KUBWA jinga!
Sasa kama lipo peke yake hapo mjini hilo gari namba una hide za nini?
Kuna mzee namfahamu alikuwa wa kwanza kuleta suzuki vitara miaka ya 90 na lilijulikana kwa namba zake za usajili hadi mikoani.
watu waliosoma bwana
😀😀😀
Haya nendeni mkacheze Golf sasa

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Hawa ndo sadist halisi wenyewe , mbabe kajipinda kanunua chombo ya peke yake mjini hapa halafu kuna mtu anataka asisifiwe.
Give credit where credit is due.

Halafu kama aliepost ndio mwenye gari hao wasomi watasemaje sasa? Yaani wasomi wa kukariri ni maboya tu
 
Hajahide namba kwani hilo gari limefanya uhalifu au kuna tishio la kiusalama kwa mmiliki? Na unashindwa kuelewa mfumo wa TRA mmiliki siku hizi hayuko wazi kama zamani wamehide taarifa za mmiliki, Na vipi Hornet anayeuza used mbona hu hahide namba
 
Acheni tabia za kiswahili nyie. Unapostije gari ya mtu kwenye mitandao bila ridhaa yake?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Walimwengu sisi watu wa ajabu kweli kweli! mwenye gari humjui. aliyeandika humjui..anaye comment humjui....sasa unashupaza mishipa ya nini? after all kafanya kosa gani? kaona gari barabarani kaipenda..kaja JF kuulizia wenye uzoefu..maybe anataka avute mchuma...huoni kama anamfanyia promotion mwenye kampuni? huenda akiona hii text atafurahi kwamba gari yake watu wanaipenda..

Sometimes..usichukulie maisha too serious mkuu.....maisha ni mafupi mno..hayo magari ni mdebe tuu..kesho yatatoka mazuri hata zaidi ya hayo....... Besides kama mwenye gari asingetaka ipigwe picha au ionwe na walimwengu..basi angeifungia ndani..

Relax bro..wacha watu wafurahishe nafsi. Maybe ndo mwanzo wa safari kutafuta huo mchuma.

Amani kwetu sote....
 
asante
 
Brilliant!
 
Back
Top Bottom