t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Hapo unaposema sifa zake zitamcost mmiliki ndo uswahili wako ulipoSifa zake zinaweza kumCost mmiliki kwa namna moja au myingine.
Acheni hizo tabia za kiswahili.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Kwamba atafukuzwa kazi kwa ubadhirifu? , Au ndo watu watamloga ?
Bado unaishi zile zama za kuwa ukisema kwenu kuna Tv ,basi wezi watawavamia?, na utandawazi wote huu bado unataka kufichaficha mambo kama wachawi? , Hilo garo kwa lilivyo unique kwa picha hiyo tu kuna watu wanaweza kukueleza hadi ofisi linayo paki let alone nyumba linapokaa , ina good way though
Shule ni maarifa uliyobaki nayo kichwani baada ya kumaliza , sio vyeti ulivyorundika kabatini.