Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hello!
Mimi si shabiki wa mpira kivile ingawa naipenda Yanga kuliko Simba . Hakuna timu nitavutiwa mpaka nikatoa pesa yangu kununua jezi.
Turudi kwa Mzee Magoma, huyu kafanya haki yake kikatiba na mtu yeyote akiona Mzee kakosea milango ya mahakama iko wazi sio kuishia kuropoka vijiweni tu.
Hiyo dua anayoisema ni kind of Albadli au kiarabu tunaita Ahal Lbadr. Albadli ni vita ya kisasi. Ningeleta history of Ahal Lbadr ila naona si wakati wake.
Miaka ya 70 Mzee akiwa Kilwa kupata elimu ya akhera huku akipata elimu ya Sihiri mwalimu wao aliibiwa nazi, akatoa wiki moja ya toba. Yeyote aliyeiba arudishe au ajisalimishe, masela wakanyuti.
Akaitandika Albadli konki.
Kijana aliyepanda juu kuangua nazi alikufa, aliyeokotea na kuchuna alikufa, kila aliyekula mboga iliyoungwa zile nazi alikufa, kibao cha kukunia nazi kilichotumika kukuna kiliungua, mti uliotumika kuchuna nazi uliungua.
Ukawa msiba mzito.
Kwahiyo kama kweli huyu Mzee anaijua vizuri hiyo kind ya Albadli basi sio mchezo. Albadli ina branches zake kulingana na kusudi la msomaji.
Ngoja niishie hapa.
Sifanyi promotion ya usihiri, nimekumbuka story alizotusimulia Mzee baada ya Mzee Magoma kutaja hiyo kitu jana. Nineokoka, nampenda Yesu.
Bwana Yesu asifiwe.