Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokukuja kitu haifanyi kisiwepo, wakristu ni wengi lakini sio wote wanaijua biblia ipasavyo, ni hivyo hivyo hata uslamu, kusoma quran yote haikufanyi uweze kufanya uchawi wa kiarabu. Ule ni uchawi wa kiarabu ila kwa kuwa unatumia kiarabu ambacho hutumiwa na waislamu ndio maana inaonekana kama sehemu ya dini lakini sio kila muislamu anajua kuroga hivyo hiyo haipo katika mafunzo ya dini mdio maana ni wachache wanajua wale wanaoamua kwenda etra miles.Kwa wanaoiamini labda , alafu mbona ingekuwa kweli basi watu wengi wangeitumia maana wizi ni mwingi sana hapa dunian
Hakuna lolote ni upumbavu tu.Mambo yapo mzee Acha ubishi wa kitoto
Acha ujuaji, hiyo kitu kwanza ujue ni uchwawi wa kiarabu, na sio kila mwarabu ni mchawi na kujua kiarabu haikupi access ya kufanya utakacho. Dini ya kiislamu imebenwa mkumbo tu kwa kuwa ndio lugha yao mama. Na hii hufanya kazi pale mtu anapodhulumiwa au kifanyiwa jambo binafsi sio kisiasa kama unavyotaka iwe. Yaani ingekuwa hivyo hata Tanzania inhesharoga World Bank wasau madeni lakini haiwezekani. Ila ukija ki individual kuna watu wanakuroga unasau kabisa kumdai.Acheni mikwara,kama kungekuwa na hiyo kitu Netanyahu si angeshageuzwa majivu? Yule Salman Rushdie wa aya za shetani alisomewa albadil na waislam wa dunia nzima, na hadi leo yupo anakula bata New york to london
Kilwa Pande kulikuwa na mwamba mmoja akiitwa Mzee Shai, jamaa alikuwa mtu haswaaa ishu za kuua hizi katanguliza sana wenzake. Nasikia ilikuwa ukienda kwake anakupa option unataka ukirudi ukute washazika, au unataka ukashuhudie mwenyewe mtu akikata moto, ila dau lake la kazi nasikia nalo lilikuwa mlima(5mil, 10mil n.k) ilikuwa kawaida tu kwake, na inasemekana mwenyewe alishadeclare hana mpango na pepo ya muumba wake(aliamua dunia iwe pepo yake)Kuna watu wamepigwa na Qurjuan zao. Hivi kuna mtu alikuwa anaogopwa kama Mzee Uwesu Bin Zubeir? Watu walipo choshwa na vituko vyake wakamsafiria hadi Mikumi kwa yule fundi baba lao ambae jina lako likipelekwa kwake leo basi kesho unazikwa..
Mzee Uwesu Bin Zubeir alikauka akiwa juu ya mti na ulozi wake mchana kweupe.
Ukilijua hili wenzako wanalijua lile.
So mzee Magoma ajiangalie sana