Hii kuzeeka kwa huyu mdudu ni kweli?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Kuna huyu mdudu anaitwa nzi na wengine husema nzi kutikana na lahaja za maeneo yao.

Eti ni kweli maisha yake hudumu kwa kipindi cha siku 7 tu, na katika muda huo anakua ni kikongwe mzee sana hajiwezi, na anaweza aga dunia wakati wowote kwa sababu ya umri usonga sana kitika kipindi hicho?

Wataalamu wa wadudu na viumbe tafadhali hizi ni simulizi tu au kuna ukweli?

 
Hapo ndi huwa tuaambiwa kuwa sisi wa tz wavivu wa kufikiri. Umeweza kuandika hapa lakini umeshindwa ku gogle, ku ask.com. au kwenda chartGBT kweli. Acheni uvivu wa kufikiri.
 
 
Hapo ndiobhuwa tuaambiwa kuwansisi wa tz wavivu wa kufikiri. Umeweza kuandikanhapa lakini umeshindwa ku gogle, ku ask.com. au kwenda chartGBT kweli. Acheni uvivu wa kufikiri.
Kuna 7-10
Kuna 28
Kuna 15-30
Kuna 20-30
Kuna 25-30

Inategemea na mazingira tena dume ndio hua linawahi kufa kuliko jike
 
yah!! true,,nzi siku 7,mbwa miaka 14,kobe miaka 300,kunguru miaka 70 n.k
 
Kwani anabalehe siku ya ngapi?
 
Kinyonga akitaka kuzaa anapanda juu kabisa ya mti anajidondosha mpaka chini tumbo linapasuka watoto wanatoka!
Wakubwa nisaidieni kuhusu hilo.
 
Hapo ndiobhuwa tuaambiwa kuwansisi wa tz wavivu wa kufikiri. Umeweza kuandikanhapa lakini umeshindwa ku gogle, ku ask.com. au kwenda chartGBT kweli. Acheni uvivu wa kufikiri.
Mkuu wengine hujajua tu. Humu kuna watu wanaabudu mitandao hapo akipoteza hii ac basi anapagawa ndio maana utaona mtu analeta uzi ambao hata mtoto wa chuo hawezi kuuleta hapa. Msamehe bure mimi naishiaga kumwambia NYEGE MBAYA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…