Hii kuzeeka kwa huyu mdudu ni kweli?

Hii kuzeeka kwa huyu mdudu ni kweli?

Wakuu NYEGE MBAYA SANA ASEE.
Mtu kashindwa kufikiri nje ya box kaamua kuleta uzi jf 😂😂😂 maswala ya form 2 mtu anakuja kuuliza leo jf dah kweli 4m4 wamemaliza shule na shule zimewamaliza
 
Kinyonga akitaka kuzaa anapanda juu kabisa ya mti anajidondosha mpaka chini tumbo linapasuka watoto wanatoka!
Wakubwa nisaidieni kuhusu hilo.
😀 nasubiri pia kujua zaid
 
Hivi angekuwa ana maisha marefu huyu kiumbe ingekuwaje? Hasa ukizingatia usumbufu alionao na hatari yake ya kusambaza magonjwa ya kuhara
hata hivyo inaonekana wanazaliana kwa haraka na wingi sana...

kwekweli kama wangeishi muda mrefu sana basi ingekua ni patashika kwenye magonjwa ya mlipiko...

Mungu ana makusudi na Kila Kiumbe aise..
 
Hapo ndi huwa tuaambiwa kuwa sisi wa tz wavivu wa kufikiri. Umeweza kuandika hapa lakini umeshindwa ku gogle, ku ask.com. au kwenda chartGBT kweli. Acheni uvivu wa kufikiri.

Kwa nini? Usi pract kuliko kwenda kusoma maelezo yaliyoandikwa na binaadamu mwenzako pengine nayeye alikosea kuingiza kwenye mtandao taarifa sizizo sahihi

Au alipofanya uchunguzi yeye ilikuwa sahihi then process ya mdudu husika ilikuja kubadilika... haufikirii hivyo au hauoni wengine wanasema ni siku 7 wengine siku 15 to 30-31 au labda kuna aina nyingi za mdudu husika.. ni uvivu tu wa kufikiri

Uvivu pia kutafuta maelezo uliyoandaliwa nenda kaandae na uanze kufatilia ujue kipi na kipi ni sahihi

Africa tunajilaani wenyewe kwa kusema utajiri upo kwenye vitabu na sio sahihi
 
Kwa nini? Usi pract kuliko kwenda kusoma maelezo yaliyoandikwa na binaadamu mwenzako pengine nayeye alikosea kuingiza kwenye mtandao taarifa sizizo sahihi

Uvivu pia kutafuta maelezo uliyoandaliwa nenda kaandae na uanze kufatilia ujue kipi na kipi ni sahihi

Africa tunajilaani wenyewe kwa kusema utajiri upo kwenye vitabu na sio sahihi
🙏💪👌🔥
 
Back
Top Bottom