Hii kwangu imekuwa changamoto kubwa. Hata natamani kukimbia home

wanafata mipassion.nilisikia huwa wanakaa juu ya mipassion

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha utani wewe wale walisha laaniwa na Mwenyezi Mungu..nyoka ni nyoka mula! Hakuna kijani Wala bluu
 
Hana madhara ila ana sumu kali sana akikuuma kama hutapata msaada unakufa
 
Nisikudanganye kuwa ntaweza mimi hata nyoka mfu niligusishwa mwili hiyo sehemu inavimba. Sipendi na naogopa sana nyoka.


 
Kuna watu ambao wap negative sana.wanaamini ktk uongo wao wanadhani hata wengine wapo hivyo.alipaswa atulie ajibu hoja au kunisaidia.chanzo cha kuandika si kujisifu.ni kutafuta namna ya kutatua tatizo.

Nadhani umenjibu pasipo kujua undani wa shida husika. Umejibu kishabiki
 
Dar kuna mambo [emoji3][emoji3]
 
Si Jambo zuri sana kulala na nyoka ndani , ni vyema ukawa unapiga dawa.
 
Duuh mzee we ninja, hakuna kitu mimi naogopa kama nyoka maana hao viumbe hawachelewi kutekeleza majukumu ya Israel ,, yani wao na kifo ni ndugu
 

Mkuu inabidi tu uzoee na hivyo nyumba ni ya kwako kabisa hujakodi kama utasema unahama ukakodi kwengine..... Mie makaazi nilohama ilikuwa mara kwa mara tunaua tandu. mara akupitie mguuni, mara umelala nae kucha chini ya mto, mara ushaamka ukirudia kitandani unamkuta katulia chooni ndio mara kadhaa wadogo, wakubwa, weusi wa brown yaani mitandu kama yote, chumbani tushaua nyoka mara mbili tunaua tunatupa maisha yanaendelea.... Fanya fumigation mara kwa mara kwa hao wadudu wadudu na ukipata mubil mchafu mwaga mwaga sehem za nje inakimbiza nyoka
 
Hao tandu umewadhibiti vipi? Hao ni issue kwangu. Hata ukinambia ana mapengo haumi siwezi kukwelewa. Kuna dawa gani ya kuua wote na kuzuia kuenea kwao?


 
Hao tandu umewadhibiti vipi? Hao ni issue kwangu. Hata ukinambia ana mapengo haumi siwezi kukwelewa. Kuna dawa gani ya kuua wote na kuzuia kuenea kwao?

Fumigation mkuu, au kwa kawaida weka dawa za wadudu zile tunaita spray za mbu na mende kama HIT nk ukiona we pulizia tu zinawaua. Mie pia vidudu naviua kwa mtindo huo..... nampulizia dawa ya mbu siwezi kumpiga mfano kwa kiatu siwezi kabisa yaani.... muokozi wangu ni hizi sprays
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…