Uchaguzi 2020 Hii Kweli Mashine; 96% Kampeni Hajachoka Mwili Wala Akili

Katika historia ya Chaguzi za vyama vingi tokea 1995 haijapata kutokea mgombea aliyepiga kampeni mfululizo na kutimiza takribani 96% ya malengo ya ratiba yake bila kuonyesha kuchoka kwa mwili au Akili kiasi cha kuzoza hovyo bila kutumia Akili kama ilivyo kwa Tundu Lissu mgombea kutoka Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema.
Hakika hii ni machine au chuma cha pua kabisa ukilinganisha na wagombea wenzake tena wengine wazoefu zaidi yake.
Na lakushangaza ni kuwa Lissu huwa anaicheza show mwenyewe jukwaani, hana cha msanii wala blabla za viongozi wengine eti hotuba za utangulizi.
Hakika nadhani Mungu karuhusu tuingie majaribuni jee tutashindwa kuona uwezo huu na kuendelea na ujinga kama kawaida yetu kisha atuache jumla kama Somalia na kwingineko kwenye neema ya maliasili lakini ujinga umetamalaki.
Lissu ni chuma. You kbow what is encouraging him?? Success. Siku zote kama unafanya jambo linalodanikiwa kila siku huchoki hamasa inazidi kupaa.
 
Muungwana ni kitendo na lakushangaza ni kuwa Lissu huwa anaicheza show mwenyewe jukwaani, hana msanii wala blabla za viongozi wengine eti hotuba za utangulizi.
 
Lissi anatisha sana. Hana uchafu yule hahitaji kumnadi saana. Anatosha. Ni brand inayojiuza
 
H a ha haaa! Mtani, na wewe unataka urejeshewe madaraka kama ilivyokuwa wakati wa ukoloni!? Ha hahahaa! Usiniabishe, Mkuu. Mnyime kura Lissu tarehe 28/10/2020. Kwani anataka watanzania tuwe manamba na watumwa!!! Ana maanisha ndiyo maana hajakanusha maneno yake haya!!!
Mtani mbona majirani zetu wamerudisha Huo utawala ulioboreshwa zaidi,anagalia wanavyotupita kama tumesimama.yani mpaka mkuu Wa mkoa anachaguliwa na wananchi na wananchi wanaweza kuhoji matumizi na mapato mtani ya jimbo lao.hapa mtani tunachimba tanzanite arudha hela inaenda kujenga uwanja chato.
Mtani chagua Lisu tupate katiba Mpya mtani.
 
Katika historia ya Chaguzi za vyama vingi tokea 1995 haijapata kutokea mgombea aliyepiga kampeni mfululizo na kutimiza takribani 96% ya malengo ya ratiba yake bila kuonyesha kuchoka kwa mwili au Akili kiasi cha kuzoza hovyo bila kutumia Akili kama ilivyo kwa Tundu Lissu mgombea kutoka Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema.
Hakika hii ni machine au chuma cha pua kabisa ukilinganisha na wagombea wenzake tena wengine wazoefu zaidi yake.
Na lakushangaza ni kuwa Lissu huwa anaicheza show mwenyewe jukwaani, hana cha msanii wala blabla za viongozi wengine eti hotuba za utangulizi.
Hakika nadhani Mungu karuhusu tuingie majaribuni jee tutashindwa kuona uwezo huu na kuendelea na ujinga kama kawaida yetu kisha atuache jumla kama Somalia na kwingineko kwenye neema ya maliasili lakini ujinga umetamalaki.
Na bado anatembea na risasi mwilini!!Kuna msemo wa yule jamaa anaitwa Kigogo anasema"Vijana tunzeni miili yenu yasije wakuta ya Meko(Mgonjwa)"
 
mpaka mkuu Wa mkoa anachaguliwa
Duh! MTANI umefuatilia kwa undani namna uendeshaji wa serikali ya jirani ulivyo!? Hasa udhibiti wa mapato na matumizi ya serikali hiyo ya jirani.

Ni kweli, jirani ana katiba mpya, lakini cha kushangaza jirani huyo yupo mbioni kuibadili!!! Na katika udhibiti wa fedha za umma jirani ameshindwa vibaya sana! Ela za Covid19 za jirani tena ni mkopo zimepigwa na "wenye meno makali" hapo kwa jirani!

Mtani kwa ufupi hatuna la kujifunza na kuliiga kama lilivyo kutoka kwa jirani.
 
Katika historia ya Chaguzi za vyama vingi tokea 1995 haijapata kutokea mgombea aliyepiga kampeni mfululizo na kutimiza takribani 96% ya malengo ya ratiba yake bila kuonyesha kuchoka kwa mwili au Akili kiasi cha kuzoza hovyo bila kutumia Akili kama ilivyo kwa Tundu Lissu mgombea kutoka Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema.
Hakika hii ni machine au chuma cha pua kabisa ukilinganisha na wagombea wenzake tena wengine wazoefu zaidi yake.
Na lakushangaza ni kuwa Lissu huwa anaicheza show mwenyewe jukwaani, hana cha msanii wala blabla za viongozi wengine eti hotuba za utangulizi.
Hakika nadhani Mungu karuhusu tuingie majaribuni jee tutashindwa kuona uwezo huu na kuendelea na ujinga kama kawaida yetu kisha atuache jumla kama Somalia na kwingineko kwenye neema ya maliasili lakini ujinga umetamalaki.
Angekuwa 'hajachoka' kamwe 'asingesema' kuwa 'Uchaguzi' ukimalizika na akijua 'anaushindwa' asubuhi tu basi 'anarejea' zake 'Belgium' Kutibiwa.
 
Back
Top Bottom