Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
- Thread starter
- #81
Nikikuambia Mimi utadhani nakudanganya. Msikilize mwenyewe mtu wao wanayemuita presidaa! Yaani hadi aibu. Hivi kwa nini Jakaya alitutenda haya jamani huyu mkwere? Yaani kumuita dhaifu kachukia na ndio akafunua chungu cha msosi na kushushia mzigo humohumo tuipate fresh?Leo gari la mkaa liko wapi?