Nikikuambia Mimi utadhani nakudanganya. Msikilize mwenyewe mtu wao wanayemuita presidaa! Yaani hadi aibu. Hivi kwa nini Jakaya alitutenda haya jamani huyu mkwere? Yaani kumuita dhaifu kachukia na ndio akafunua chungu cha msosi na kushushia mzigo humohumo tuipate fresh?Leo gari la mkaa liko wapi?
Hehee unataka kusemaje?? Umgera wa sida??Hapana mkuu, kuna mengine sio ya Mola. Kama yale ya kuwasomba kila cheupe ukionacho Kona bar (nasikia hulka hiyo ilikuwepo) si vizuri tumsingizie Mola
Mwalimu katulia sanaHats mgombea mwenza yupo nondo kama bosi wake.
Duh,, hadi aibu aiseee! Reo narara hapa hapa Karatu!Nikikuambia Mimi utadhani nakudanganya. Msikilize mwenyewe mtu wao wanayemuita presidaa! Yaani hadi aibu. Hivi kwa nini Jakaya alitutenda haya jamani huyu mkwere? Yaani kumuita dhaifu kachukia na ndio akafunua chungu cha msosi na kushushia mzigo humohumo tuipate fresh?
View attachment 1610753
Jambo muhimu ameturejeshea heshima yetu Kama taifa katika demokrasia.amethibitisha vyama vingine haviwezi kufa hata ukinunua viongozi wote wa upinzani.Lissu atashinda kampeni magufuri atashinda uchaguzi Tarehe 28/10/2020
Na Leo ndio anahitimisha [emoji817]% ya kampeni zake kwa mafanikio makubwa sana.Jambo muhimu ameturejeshea heshima yetu Kama taifa katika demokrasia.amethibitisha vyama vingine haviwezi kufa hata ukinunua viongozi wote wa upinzani.
Heshima Sana kwako LISSU bila kujali matokeo .