Hii laana itawatafuna simba mpaka waombe msamaha

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Titizo kubwa la simba ni kujiita giant wa league Ya Tanzania na afrika mashariki
Wote mnajua giant ni mmoja tu wa Tanzania na afrika mashariki ambaye ni yanga pekee yake
Ndo timu pekee yenye makombe ya league kuu yetu ndo timu pekee yenye Historia na nchi yetu
Ndo timu pekee yenye mvuto Tanzania
Alafu Simba anataka kujimilikisha ukubwa Kisa tu kamzidi Kaka yake urefu kidogo
Simba wanatakiwa kuomba msamaha kwa yanga Bila Ivo robo final ni yenu kila mwaka
Yanga mwaka kesho wanafika final ya club bingwa savu Hii SMS Mungu atupe uzima tu sote tutaona
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani bado zile goli 2 tumewakanda zinawauma? Hivi nyie si mnacheza nusu fainali ya vibonde na bado unatutaja taja mnashida gani na simba?
 
Hakika aliyewaita utopolo alitafakari mbali sana
Titizo kubwa la simba ni kujiita giant wa league Ya Tanzania na afrika mashariki
Wote mnajua giant ni mmoja tu wa Tanzania na afrika mashariki ambaye ni yanga pekee yake
Ndo timu pekee yenye makombe ya league kuu yetu ndo timu pekee yenye Historia na nchi yetu
Ndo timu pekee yenye mvuto Tanzania
Alafu Simba anataka kujimilikisha ukubwa Kisa tu kamzidi Kaka yake urefu kidogo
Simba wanatakiwa kuomba msamaha kwa yanga Bila Ivo robo final ni yenu kila mwaka
Yanga mwaka kesho wanafika final ya club bingwa savu Hii SMS Mungu atupe uzima tu sote tutaona
 
Ukisikia bahati basi ni utopolo msimu huu. Kule champions wale walioshika nafasi ya Tatu na wale walioishia robo wangekuwepo shirikisho utopolo hisingenusa hata robo final. Akina Al hilal, Raja, Simba, horoya, Zamalek , petro de Luanda hawa wameishia njiani kule champions lakini kwa utopolo ni Vigingi vikubwa.
 
Titizo kubwa la simba ni kujiita giant wa league Ya Tanzania na afrika mashariki
Wote mnajua giant ni mmoja tu wa Tanzania na afrika mashariki ambaye ni yanga pekee yake
Ndo timu pekee yenye makombe ya league kuu yetu ndo timu pekee yenye Historia na nchi yetu
Ndo timu pekee yenye mvuto Tanzania
Alafu Simba anataka kujimilikisha ukubwa Kisa tu kamzidi Kaka yake urefu kidogo
Simba wanatakiwa kuomba msamaha kwa yanga Bila Ivo robo final ni yenu kila mwaka
Yanga mwaka kesho wanafika final ya club bingwa savu Hii SMS Mungu atupe uzima tu sote tutaona
mkuu wewe HUNA AKILI,
 
96a9d8d3-de0c-47f5-b544-1e80bc849776.jpg
 
Umalizie kabisa , Robofainali ya kombe lipi na nusufainali ya kombe lipi. CAFcc au CAFCL ?
 
Mimi ni gempongeza Ya ga kama Angekuwa Club BINGWA CAFCL.

ANACHEZA NA WANAUME AKINA .

RAJA CASABLANCA.
WYDAD CASABLANCA.
ALHALY.
ZAMALECK.
MAMELOD.
KAIZER CHEEF.
OLANDO PAIRATES.

Hakika Hilo ni kombe la looser Na Mwaka una ma looser kibao.

Timu ya kushuka Daraja PSL IMETUSUMBUA sana Jana.

Mwenye akili afikiri
 
Back
Top Bottom