Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Hata dsm wapo mkuu.Mkoa gani huo mkuuu...
apo itakuwa uwanja wa fisi tuHata dsm wapo mkuu.
Bora kusafiri na viporo!Hila chukua tahadhari.
Kwani ukila unakufa? Katika vitu ambavyo wewe huli, umepokea tu na wala hujui kwa nini huli... UMERITHISHWA KUWA HAVILIWI...Ukienda pupa umekula nyama ya mbwa, akiwekwa kitunguu swaumu, tangawizi, ndimu, pilipili, chumvi kidogo, na chachandu, na uwe ushalewa unaleta uchu wako...umekwisha ndugu yangu!
Una sababu ya msingi kwanini nyama fulani huli?Bora kusafiri na viporo!
Vipi wewe ni wa Ntwala?Una sababu ya msingi kwanini nyama fulani huli?
Kama Ntwara wanakula Panya, Singida wanateremsha punda, Songea wanakula kumbikumbi, Bukoba wanaondosha senene... wewe una sababu yoyote kwanini huli kimojawapo? Wamsai wao samaki ni ishu...Vipi wewe ni wa Ntwala?
Naunga mkono hojaKama Ntwara wanakula Panya, Singida wanateremsha punda, Songea wanakula kumbikumbi, Bukoba wanaondosha senene... wewe una sababu yoyote kwanini huli kimojawapo? Wamsai wao samaki ni ishu...
Hii sio Tanzania ndugu yangu na huyu sio mbwa.. Hapa ni Congo na hii ni mboga ya kawaida kwaoUkienda pupa umekula nyama ya mbwa, akiwekwa kitunguu swaumu, tangawizi, ndimu, pilipili, chumvi kidogo, na chachandu, na uwe ushalewa unaleta uchu wako...umekwisha ndugu yangu!
kumbikumbi nakula! Senene sili! Cha muhimu kuhusu hiyo mishikaki wanapouza wawe wazi! Waseme nauza mishikaki ya mbwa, nyani, mamba, nguruwe,punda n.k.Kama Ntwara wanakula Panya, Singida wanateremsha punda, Songea wanakula kumbikumbi, Bukoba wanaondosha senene... wewe una sababu yoyote kwanini huli kimojawapo? Wamsai wao samaki ni ishu...