Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Mkoa gani huo mkuuu...
Hapa ni Iringa, si uniona hao vijana wanavyofanana na wahehe? Ila hata mikoa mingine pia kuna wapuuzi kama hawa wakiuza mizoga kwa walafi barabarani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkoa gani huo mkuuu...
Mapokeo... umekuta haviliwi kwenu, na hujawahi kupikiwa....ukaendeleza kutokula.. basi... no scientific reason. Ujgekuta wanakuja, ungekula..!! Hujui tu vingapi na vya aina gani ushakula na hujui kama umevilaSababu zipo mkuu, 1. Tangu utoto katika malezi nilikitokea huko kwa wazazi wangu awajawai kunipikia nyama ya paka, wala mbwa...sasa leo hii ununue mishikaki ya paka, au mbwa ule kwangu ni ngumu kiongozi!
Habari za usikuNyama ni nyama