Hii maalum kwa walaji wa mishikaki ovyo, barabarani!

Huo ni urafi...uwezi kula vitu ambavyo toka uzaliwe aujawai kula utadhurika mkuu.
Tafadhari kiongozi, niondolee kukariri.... mlio wengi hamna sababu za msingi kwa hamli nyama Fulani... ndo mtabaki kusema ulafi, na hapo unaonyesha jinsi usivyojua definition ya ulafi.... KWA HIYO WEWE HULI KITU AU NYAMBA FULANI KWA VILE TU HUJAWAHI KULA TOKA UZALIWE?? Kuna vingapi umekutana navyo ukubwani na unakula AU kuvifanya...??
 
Daah hila noma sana mkuu SHIMBA YA BUYENZE: mzee wa like [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Samahani mkuu. Mi siyo msahihisha sarufi lakini....

Ila na hila ni maneno mawili tofauti katika Kiswahili. Yaangalie vizuri matumizi ya irabu za Kiswahili (a,e,i o,u) na h_. Katika comments zako hapa umechanganya changanya tu. Naamini wewe ni mtani wangu wa Kihaya au Kikerewe....

>>>Hakuna noma yo yote ukila bila kujua na kama hakuna madhara.
 
Tafadhari kiongozi, niondolee kukariri.... mlio wengi hamna sababu za msingi kwa hamli nyama Fulani... ndo mtabaki kusema ulafi, na hapo unaonyesha jinsi usivyojua definition ya ulafi.... KWA HIYO WEWE HULI KITU AU NYAMBA FULANI KWA VILE TU HUJAWAHI KULA TOKA UZALIWE?? Kuna vingapi umekutana navyo ukubwani na unakula AU kuvifanya...??
Sawa mkuu...nitakula vyote lkn sio mbwa, paka nk...
 
Samahani mkuu. Mi siyo msahihisha sarufi lakini....

Ila na hila ni maneno mawili tofauti katika Kiswahili. Yaangalie vizuri matumizi ya irabu za Kiswahili (a,e,i o,u) na h_. Katika comments zako hapa umechanganya changanya tu. Naamini wewe ni mtani wangu wa Kihaya au Kikerewe....

>>>Hakuna noma yo yote ukila bila kujua na kama hakuna madhara.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Sawa mkuu.
 
Umenikumbusha jana nilikuwa naangalia vichekesho (pranks). Kuna mchoma nyama alikuwa anawaonjesha nyama ya nguruwe imekaangwa vizuri na iko kwenye mwonekano wa sausage. Pale nyuma yake ilikuwapo picha ya nguruwe imekuwa labelled sehemu zake zote za mwili. Kila aliyeonja alimuuliza vipi taste yake? Kila mmoja alikuwa akisifia. Baadae akawa anawauliza kama wanajua ni sehemu gani ya mnyama waliyokuwa wamekula. Wote hawakuwa wanajua..na baadae ndo akawa anawaonyesha sehemu ya uume wa nguruwe kuwa ndo ilikuwa nyama yenyewe....Kila alipotaka kuwaongeza nyama ya kuonja hakuna aliyekuwa tayari, wengine walianza kutema na wengine kujisikia vibaya kwasababu walishameza nyama yenyewe.

Nikirudi kwenye mada yenyewe. Tatizo linakuwa unapotambua kwamba umekula mbwa. Mbali na hiyo hutadhurika ma unaweza sifia kwamba hujawahi kula nyama kama hiyo..mbona wachina wanakula sana. Au ni kam tunavyosema kusini wanakula panya. Tatizo ni kama we hujazoea ndo utaona ni shida.
 
Kamua tu provided haiui...wahutu/warundi na baadhi ya waha wanakula kama kawa.Hata mimi huwasiulizagi hii i nyama ya nn napeleka pwani tu
Duuh haya mkuu, wee peleka pwani tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umenikumbusha jana nilikuwa naangalia vichekesho (pranks). Kuna mchoma nyama alikuwa anawaonjesha nyama ya nguruwe imekaangwa vizuri na iko kwenye mwonekano wa sausage. Pale nyuma yake ilikuwapo picha ya nguruwe imekuwa labelled sehemu zake zote za mwili. Kila aliyeonja alimuuliza vipi taste yake? Kila mmoja alikuwa akisifia. Baadae akawa anawauliza kama wanajua ni sehemu gani ya mnyama waliyokuwa wamekula. Wote hawakuwa wanajua..na baadae ndo akawa anawaonyesha sehemu ya uume wa nguruwe kuwa ndo ilikuwa nyama yenyewe....Kila alipotaka kuwaongeza nyama ya kuonja hakuna aliyekuwa tayari, wengine walianza kutema na wengine kujisikia vibaya kwasababu walishameza nyama yenyewe.

Nikirudi kwenye mada yenyewe. Tatizo linakuwa unapotambua kwamba umekula mbwa. Mbali na hiyo hutadhurika ma unaweza sifia kwamba hujawahi kula nyama kama hiyo..mbona wachina wanakula sana. Au ni kam tunavyosema kusini wanakula panya. Tatizo ni kama we hujazoea ndo utaona ni shida.
Kila kitu mazowea mkuu, ukizowea hamna tabu...lakini kitu ujawai kukizowea, alafu ule, baadae unakuja gundua umekula mbwa, utatapika mpaka ufe [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mkuu umenikumbusha Mbwewe enzi zile. Nyama ya kuku kumbe tunauziwa bundi.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Duuh! Noma kweli, mpaka bundi watu wanapeleka pwani!
 
Ukitoa sababu ITAPENDEZA
Sababu zipo mkuu, 1. Tangu utoto katika malezi nilikitokea huko kwa wazazi wangu awajawai kunipikia nyama ya paka, wala mbwa...sasa leo hii ununue mishikaki ya paka, au mbwa ule kwangu ni ngumu kiongozi!
 
Back
Top Bottom