Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Tafadhari kiongozi, niondolee kukariri.... mlio wengi hamna sababu za msingi kwa hamli nyama Fulani... ndo mtabaki kusema ulafi, na hapo unaonyesha jinsi usivyojua definition ya ulafi.... KWA HIYO WEWE HULI KITU AU NYAMBA FULANI KWA VILE TU HUJAWAHI KULA TOKA UZALIWE?? Kuna vingapi umekutana navyo ukubwani na unakula AU kuvifanya...??Huo ni urafi...uwezi kula vitu ambavyo toka uzaliwe aujawai kula utadhurika mkuu.