Hii maana yake nini? Mwaka jana na juzi mtaani kwetu maendeleo yako kasi sana...

Katikati na mwishoni mwa awamu ya JPM

1: Ninashangaa kuona mtaani watu wanajenga nyumba hadi wanahamia bila kupumzika.

2: Jamaa wamefungua mahardware,maduka ya madawa, salooni kali, Bucha, Bar, carwash na nyumba za kulala wageni.

3: Vituo vya bodaboda viwili vikubwa ambavyo miaka mitatu iliyopita zilikuwa kama boda mbili tu na mwisho saa mbili.

4: Miaka mitatu iliyopita hakukuwa na kituo cha mafuta, leo viko vinne karibukaribu.

5: Shule za chekechea za kisasa kama nne hivi, na moja imefufuliwa hivi karibuni.

6: Mama ntilie, wauza samaki, kijiwe cha kahawa, maduka ya vyakula vya mifugo, welding ,magenge ya nyanya na maduka ya vitu vya nyumbani nayo yanamushroom kila kukicha.

Je? Tukichukua hii kama sample, mipango ya hayati JPM ilikuwa inaanza kutunufaisha watanzania kidogo kidogo.
Je, Yajayo yalikuwa yanaanza kufurahisha?

Ukiangalia Google map ya 2015 na ukipiga picha ariel view kwa drobe/hericopter au ndege utashangaa mabadiliko makubwa sana hasa miaka hii ya mwishomwisho.

Wakuu ni juhudi zetu tu au ndio matunda ya mikakati ya uchumi ya Hayati JPM
Uongo kubwa !
Pengine unawaongelea wafanyakazi wa TRA.
 
Hakuna uongo hata chembe. Sikumbuki mara ya mwisho nimefanganya.

Hapa inamaliziwa hospitali(kituo cha afya) ya pili, ila moja iko operational (dispensary) nayo ni mwishoni mwa awamu ya hayati.
 
Maana yake ni kuwa wapigaji na wala rushwa waliongezeka sana kwa kigezo cha uzalendo
 
Ndo maana kamzunguko hakapo
Nilienda kumtembelea jamaa yangu wa muda mrefu huko mbeya jamaa anaishi nje ya mji. Kufika kwake matembele amelima, mti wa parachichi upo, kuku anafuga, kazini anaenda na baiskeli yaani ni almost hanunui kila kitu ispokuwa umeme, maji na chumvi maana hata mchele na maharage alikuwa na viroba viwili. Unafikiri maeneo kama hayo utauza nini?
Hakuna wateja parachichi sado 1500, huku dar parachichi moja 800-1200
 
Katikati na mwishoni mwa awamu ya JPM

1: Ninashangaa kuona mtaani watu wanajenga nyumba hadi wanahamia bila kupumzika.

2: Jamaa wamefungua mahardware,maduka ya madawa, salooni kali, Bucha, Bar, carwash na nyumba za kulala wageni.

3: Vituo vya bodaboda viwili vikubwa ambavyo miaka mitatu iliyopita zilikuwa kama boda mbili tu na mwisho saa mbili.

4: Miaka mitatu iliyopita hakukuwa na kituo cha mafuta, leo viko vinne karibukaribu.

5: Shule za chekechea za kisasa kama nne hivi, na moja imefufuliwa hivi karibuni.

6: Mama ntilie, wauza samaki, kijiwe cha kahawa, maduka ya vyakula vya mifugo, welding ,magenge ya nyanya na maduka ya vitu vya nyumbani nayo yanamushroom kila kukicha.

Je, tukichukua hii kama sample, mipango ya hayati JPM ilikuwa inaanza kutunufaisha watanzania kidogo kidogo.
Je, yajayo yalikuwa yanaanza kufurahisha?

Ukiangalia Google map ya 2015 na ukipiga picha ariel view kwa drobe/hericopter au ndege utashangaa mabadiliko makubwa sana hasa miaka hii ya mwishomwisho.

Wakuu ni juhudi zetu tu au ndio matunda ya mikakati ya uchumi ya Hayati JPM
Waache wengine waendelee kulialia. Hata hii minne ya mwisho ya mama watabaki vile vile
 
Ndo maana kamzunguko hakapo
Hapa mjini ukiondoa aibu na ukajiongeza kidogo tu hela ipo na mzunguko ni mkubwa ila vijana wa degree tunachagua kazi. Kuna siku nilimwambia graduate mmoja umekaa miaka 2 bila kazi hebu tafuta ujuzi wa kupaka rangi wadada kucha pamoja na kuosha miguu utanishukuru baadae akaniona mimi ni old fashion sasa hivi yuko kwa muhindi anakula laki 2.5 kwa mwezi.
Wakati hiyo hela wale vijana pale Mwenge ni weekend moja tu
 
Majiji makubwa kupaka rangi kunalipa..unampaka rangi mluguru?
 
Waache wengine waendelee kulialia. Hata hii minne ya mwisho ya mama watabaki vile vile
Kweli mkuu yaani mimi naongealea facts za mtaani kwangu watu wanaona napiga fix.

Business centers kama mbili moja imeanza kazi nyingine iko underconstruction
 
Waache wengine waendelee kulialia. Hata hii minne ya mwisho ya mama watabaki vile vile
Kweli mkuu yaani mimi naongealea facts za mtaani kwangu watu wanaona napiga fix.

Business centers kama mbili moja imeanza kazi nyingine iko underconstruction
 
Katikati na mwishoni mwa awamu ya JPM

1: Ninashangaa kuona mtaani watu wanajenga nyumba hadi wanahamia bila kupumzika.

2: Jamaa wamefungua mahardware,maduka ya madawa, salooni kali, Bucha, Bar, carwash na nyumba za kulala wageni.

3: Vituo vya bodaboda viwili vikubwa ambavyo miaka mitatu iliyopita zilikuwa kama boda mbili tu na mwisho saa mbili.

4: Miaka mitatu iliyopita hakukuwa na kituo cha mafuta, leo viko vinne karibukaribu.

5: Shule za chekechea za kisasa kama nne hivi, na moja imefufuliwa hivi karibuni.

6: Mama ntilie, wauza samaki, kijiwe cha kahawa, maduka ya vyakula vya mifugo, welding ,magenge ya nyanya na maduka ya vitu vya nyumbani nayo yanamushroom kila kukicha.

Je, tukichukua hii kama sample, mipango ya hayati JPM ilikuwa inaanza kutunufaisha watanzania kidogo kidogo.
Je, yajayo yalikuwa yanaanza kufurahisha?

Ukiangalia Google map ya 2015 na ukipiga picha ariel view kwa drobe/hericopter au ndege utashangaa mabadiliko makubwa sana hasa miaka hii ya mwishomwisho.

Wakuu ni juhudi zetu tu au ndio matunda ya mikakati ya uchumi ya Hayati JPM
Kuna mtu kakutuma kumsifia huyu Meko au ni kihere here chako tu?
Screenshot_20210406-163632.jpg
Screenshot_20210406-163550.jpg
 
Back
Top Bottom