KIDUDU
JF-Expert Member
- Sep 17, 2012
- 2,557
- 1,927
Jamani nimepita mbeya jana nikakuta kuna jengo limeandikwa SHREE HINDU MANDAL lakini kilichonistua ni alama ambayo imechorwa kabla na baada ya hilo andiko.
Kuna alama ambayo ni sawa na ile iliyokuwa ikitumiwa na watu wa Adolph Hitler ya NAZI.
Naomba kuelewa yafuatayo kwa mwenye mwanga.
1. Chama kile cha wa Nazi kilikuwa na temple yake ya kuabudu? Na kama ni kweli, Je, hawa wahindi na NAZI wana uhusiano gani?.
2. Kisiasa hii ina ishara gani? Yawezekana NAZI party wameamua kujiimarisha kutokea tanzania kwa staili ya dini?
3. Kwa kuwa kila kanisa au taasisi ya dini kwa ujumla husajiliwa kwa mujibu wa sheria za nchi, Je, Tanzania wanajua uwepo wa hili dhehebu nchini?
Kama wanajua, ni nini maana ya alama hii ambayo kisiasa ilikuwa na impact kubwa duniani?
Naomba kujuzwa.
Rejea picha hapa chini.