Hii maana yake nini?

Hii maana yake nini?

Wako mpaka ndani kabisa na ndio engine ya ulimwengu
kinachonipaga matumaini ni kwamba soon shetani na wafuasi wake wataonyeshwa kuwa wao ni watoto wadogo tena sana mbele ya MWENYEZI MUNGU pale ambapo new world order itakapo feli..koz kiuhalisia hiyo kitu ya serikali moja,dini moja na sarafu moja hazitokaa zitimie ndoto kama hizo..washaanza kuziteka nchi za kiislamu ili zisiwe kipingamizi wakati wa utekelezaji lakini bado hali ni tete .
utabiri upo kwamba.mzungu alifanikiwa malengo yake katika vita ya kwanza na ya pili ya dunia...ila hii vita ya tatu anayoiunda hatofaulu katika malengo yake...
ukitaka kujua malengo ya vita vya dunia vya kwanza na vya pili.google kuhusu LEGUE OF NATIONS..hii ni baada ya vita yakwanza....na FORMATION OF THE UNITED NATIONS & INTERNATIONAL MONETARY FUND (IMF)..
saiv wanaleta NEW WORLD ORDER (NWO) hii itafeli
 
Back
Top Bottom