Hii maana yake nini?

Hii maana yake nini?

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Samahani Mkuu..naomba unijulishe zaid kuhusu hiyo swastika ya waislamu.me ni muislam lakini sijawahi kuiona .kiukweli sipingani nawewe bali naomba unielewe.naitaj unielimishe
 
Ina kizungumkuti sana ila hebu angalia hii screen shot
IMG_20180202_085951_328.jpg
 
Ina kizungumkuti sana ila hebu angalia hii screen shot View attachment 689131
kwenye huo mnara huwa waislamu wengine kama mimi siuelewagi kwasababu ya ule mwezi uliopo hapo juu ya hiyo saa.kwanini pembe za mwezi ziangalie juu wakti katika misikiti ya kawaida mwezi umeelekezwa pembeni...naamini waliojenga hilo jumba ni ma FM koz hiyo ni ishara za pembe mbili za baphomet...hope utanielewa nnachokimaanisha
 
Mshana jr naomba kujua hivi wewe binafsi yako ulishafanya meditation? Na kwa mda Gani? Am sure kabisa Akili yako kubwa sana na ni smart kuliko member wengi humu jukwaani

Otherwise nije pm?
 
Asante meditation nimefanya kama miaka 8 hivi
 
kwenye huo mnara huwa waislamu wengine kama mimi siuelewagi kwasababu ya ule mwezi uliopo hapo juu ya hiyo saa.kwanini pembe za mwezi ziangalie juu wakti katika misikiti ya kawaida mwezi umeelekezwa pembeni...naamini waliojenga hilo jumba ni ma FM koz hiyo ni ishara za pembe mbili za baphomet...hope utanielewa nnachokimaanisha
Na ukizoom unapata alama husika inayojadiliwa hapa
 
Naweza kufanye meditation kwa lugha ya kiswahili na nini muongozo wake?
 
Back
Top Bottom