My apology for such late replyAsante
Samahani Mkuu..naomba unijulishe zaid kuhusu hiyo swastika ya waislamu.me ni muislam lakini sijawahi kuiona .kiukweli sipingani nawewe bali naomba unielewe.naitaj unielimishe[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi huwa sikuelewi kabisa una mambo mengi ya kutisha nahitaji kuonana nawewe nitakuja pm!My apology for such late reply
Never mind, issokay relaxMy apology for such late reply
Hata wakristo wanafanya sana meditation kinachotofautiana ni methodologyMkuu kufanya meditation siyo dhambi kwa mkristo?
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Never mind, issokay relax
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] karibuMimi huwa sikuelewi kabisa una mambo mengi ya kutisha nahitaji kuonana nawewe nitakuja pm!
Ina kizungumkuti sana ila hebu angalia hii screen shotSamahani Mkuu..naomba unijulishe zaid kuhusu hiyo swastika ya waislamu.me ni muislam lakini sijawahi kuiona .kiukweli sipingani nawewe bali naomba unielewe.naitaj unielimishe
kwenye huo mnara huwa waislamu wengine kama mimi siuelewagi kwasababu ya ule mwezi uliopo hapo juu ya hiyo saa.kwanini pembe za mwezi ziangalie juu wakti katika misikiti ya kawaida mwezi umeelekezwa pembeni...naamini waliojenga hilo jumba ni ma FM koz hiyo ni ishara za pembe mbili za baphomet...hope utanielewa nnachokimaanishaIna kizungumkuti sana ila hebu angalia hii screen shot View attachment 689131
mkuuAaaamen KIDUDU
Zinaunda rohoHizi alama zina nguvu gani mkuu?
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Asante
Mshana maandiko yako yalinivutia mpaka nikajiunga humu
Asante meditation nimefanya kama miaka 8 hiviMshana jr naomba kujua hivi wewe binafsi yako ulishafanya meditation? Na kwa mda Gani? Am sure kabisa Akili yako kubwa sana na ni smart kuliko member wengi humu jukwaani
Otherwise nije pm?
Na ukizoom unapata alama husika inayojadiliwa hapakwenye huo mnara huwa waislamu wengine kama mimi siuelewagi kwasababu ya ule mwezi uliopo hapo juu ya hiyo saa.kwanini pembe za mwezi ziangalie juu wakti katika misikiti ya kawaida mwezi umeelekezwa pembeni...naamini waliojenga hilo jumba ni ma FM koz hiyo ni ishara za pembe mbili za baphomet...hope utanielewa nnachokimaanisha
dah.awa jamaa washatuingilia hadi kwenye dini zetu .ila ukweli soon utawekwa wazi..Na ukizoom unapata alama husika inayojadiliwa hapa
Wako mpaka ndani kabisa na ndio engine ya ulimwengudah.awa jamaa washatuingilia hadi kwenye dini zetu .ila ukweli soon utawekwa wazi..