Big dady 11
Senior Member
- May 21, 2023
- 109
- 128
Tukitoa mahaba na mapenzi na ushabiki wa hizi Timu mbili Simba na yanga ukweli usemwe tu.
Simba na yanga ni kurwa na doto ni Timu zinazo Juana nje ndani.
Akuna kitu amewahi fanya Simba yanga ajafanya. Hakuna njia alyopita Simba yanga ajapita.
Hiki kinachotokea Leo trh 8 hakuna jipya kwa wafatiliaji wa ligi mtakuwa mnajua vishawahi kutokea huko nyuma.
Simba na yanga ndo zinaongoza kutofata kanuni.
Kuhusu kuzuiwa kwa Simba kufanya mazoez
Ukiliangalia ili jambo ki kawaida utaona Simba kazuiwa kufanya mazoez uwanjani
Ila kiuhalisia
Yanga ashaloga Kisha kamzuia mwenzake asiloge hapo ndo shida ilipo.
Kwa nn wewe ulole sisi tusiloge ??
Hayo ya kanuni yapo mbele kuziba ya nyuma ila yanga wameloga na kuzuia Simba asiloge kwaiy wazee wa Simba washafungwa nje ya uwanja ndomana wanataka kanuni ifatwe mechi isiwepo.
Na yanga anataka mech kwakua anajua ashaloga na kamzuia Simba asiloge hivyo wanajua nje ya uwanja washachukua point 3 hivyo bado siku ya mechi..
Huu ndo ukweli hayo mengine ni ushabiki tu na kila mtu kutetea upande wake.