StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Ndio maana huwa nasema Mke/Mume wa kujitafutia mwenyewe ni tofauti na Mke/Mume wa kupewa na Mungu.Kuna mabinti wanateseka mkuu acha tu, una Kuta Binti katulia ila mwanaume sasa
Kwanini magonjwa ya zinaa yakiingia ndani ya nyumba mshukiwa wa kwanza ni mwanaume?Hawa ndio utasikia wanashauri wenzao eti mwanaume ameumbiwa tamaa, hata akichepuka we tulia nyumbani kikubwa analea watoto 🤣🤣🤣
Joanah inaonekana una jeuri na ni mtu wa matusi sana sijui Kwa Nini mana mi akili yangu inanambia ni Binti Mmoja mpole na mrembo but care not all way up, baby ❤️❤️❤️❤️❤️Kwa hiyo unadhani niliweka uzi ili muamini? Ile ni taarifa mzee, muamini ama msiamini i don't give a phuck
Ndio maana sijapoteza muda kujielezea kwa wangese wengine walioanzisha uzi kuhusu hilo jambo
Jifunze kukubaliana na maoni ya kila mtu
Kwa sababu ninyi ndio mmejipa haki ya kuchepukaKwanini magonjwa ya zinaa yakiingia ndani ya nyumba mshukiwa wa kwanza ni mwanaume?
Joanah inaonekana una jeuri na ni mtu wa matusi sana sijui Kwa Nini mana mi akili yangu inanambia ni Binti Mmoja mpole na mrembo but care not all way up, baby ❤️❤️❤️❤️❤️