Hii mialiko ya futari inafikirisha. Sasa imeshakuwa trend!

Hii mialiko ya futari inafikirisha. Sasa imeshakuwa trend!

Kikawaida futari haialikwi.

Zamani tulikua tunatandika nje Kariakoo tunafuturu, anaepita anakaa na yeye anafuturu, hakuna kualikana.
Madam mzima? Swali mnachagua dini yakufuturia nayo maana sisi hatuchaguagi
 
Tunaishi nje ya malengo ya dini, kila jambo liliwekwa kwa sababu zake, sasa swaumu ya mchana bado huwafikirii wasiojiweza, we funga yako ina walakini walakini, hufungi kwa yakini.
 
Kufuturisha kwa uelew wangu mdogo ni kwa yoyote tu aje na afuturu sio lazima kuwalenga maskini
Moyo wa mtu na imani yake ndo inamfanya aamue hivyo
Uwenda pia wasiojiweza kashawapa ftari yao kimya kimya
Haya mambo ni kila mmoja na mola wake
 
Back
Top Bottom