Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Madam mzima? Swali mnachagua dini yakufuturia nayo maana sisi hatuchaguagiKikawaida futari haialikwi.
Zamani tulikua tunatandika nje Kariakoo tunafuturu, anaepita anakaa na yeye anafuturu, hakuna kualikana.
Siku hizi mnaalikana kwa vyeoKikawaida futari haialikwi.
Zamani tulikua tunatandika nje Kariakoo tunafuturu, anaepita anakaa na yeye anafuturu, hakuna kualikana.
Mtu hakualiki futari, anakualika kula.Siku hizi mnaalikana kwa vyeo
Kama si Muislam hautaelewa maana ya kufuturu.Madam mzima? Swali mnachagua dini yakufuturia nayo maana sisi hatuchaguagi
Nikiwa na njaa naumefuturu kisa mkristoo hunipi chakulaKama si Muislam hautaelewa maana ya kufuturu.
Wacha waalikane kula, kuna bajeti ya mialiko Ikulu.Leo hii wanaalikana ikulu
Nikiwa muislam tatizo naliona,Wacha waalikane kula, kuna bajeti ya mialiko Ikulu.
Silioni tatizo, hayajaanza leo kualikana Ikulu.
Atachelewa sana kuelewakufuturisha ni sales and marketing na kuomba kura pia
wewe endelea na misimamo na uelewa wa zamani
Utakula hata mchana.Nikiwa na njaa naumefuturu kisa mkristoo hunipi chakula
NielekezeeeUtakula hata mchana.
Kuna tofauti ya kufuturu na kula.
Nielekezeee
Naomba msaada wako wa hali namaliKufuturu ni kule kufunguwa kinywa (breakfast) kwa aliyefunga tu.
Mkristo kujenga msikti hii imekaaje kwenuKufuturu ni kule kufunguwa kinywa (breakfast) kwa aliyefunga tu.
Ajenge tu, iko poa tu.Mkristo kujenga msikti hii imekaaje kwenu
Tatizo nini?Nikiwa muislam tatizo naliona,