Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 487
- 1,287
Kuna hii midori, sijui wanaitaje mwanasesere, sijui watu wengine wanaitaje, inatumiwa na wafanyabiashara wa nguo kuvalisha nguo za kuuza
Maumbile ya kile kitu yanarandana na mwanamke na mbaya zaidi yametengenezewa matiti fulani yenye mvuto kwa wanaume.
Udhalilishaji wake ni kwamba kuna wafanyabiashara wengine wanayasimamisha nje ya maduka yao yakiwa uchi bila kuvalishwa nguo
Watu wazima wanapita, wamama, vijana na watoto wanapita wanayaangalia yakiwa uchi
Tunajenga picha gani kwenye jamii na watoto wetu wanajifunza nini na maadili ya Taifa hapo yatakuwepo kweli?
Kama Taifa tunasisitiza picha za kuashiria mmomonyoko wa maadili ni marufuku lakini ya hii midoli haizingatiwi
Kwani nguo zikitundikwa kwenye Kamba na springs hazitauzika?
Hiki kitu hakipo sawa kwenye jamii, Waziri piga marufuku matumizi ya hiki kifaa