Naona
Dkt. Gwajima D mmemfanya Bibi yenu 🤣🤣
Sasa naona ameshakuwa Waziri wa Midoli..?
Mkuu ni skanka au umechukua Cha wapi??
Sasa unataka gwajima Akemee Midoli kutovalishwa Nguo na maduka Uko serious Kweli??
Yaani waziri asimame atangaze kuwa analaani maduka ambayo hayavalishi Midoli nguo?
Akifanya hivyo Nitamuona Sio waziri Bali binadamu wa Ajabu sana kuwahi kutokea na itabidi Nichore jina lake kwenye kitabu cha kumbukumbu..
Mkuu punguza Stress Maana ninachokiona katika uandishi wako hakika ni Stress