Hii midoli ya madukani ni udhalilishaji wa wanawake. Waziri Gwajima piga marufuku matumizi yake

Kuna hii midori, sijui wanaitaje mwanasesere, sijui watu wengine wanaitaje, inatumiwa na wafanyabiashara wa nguo kuvalisha nguo za kuuza

Maumbile ya kile kitu yanarandana na mwanamke na mbaya zaidi yametengenezewa matiti fulani yenye mvuto kwa wanaume.

Udhalilishaji wake ni kwamba kuna wafanyabiashara wengine wanayasimamisha nje ya maduka yao yakiwa uchi bila kuvalishwa nguo

Watu wazima wanapita, wamama, vijana na watoto wanapita wanayaangalia yakiwa uchi
Tunajenga picha gani kwenye jamii na watoto wetu wanajifunza nini na maadili ya Taifa hapo yatakuwepo kweli?

Kama Taifa tunasisitiza picha za kuashiria mmomonyoko wa maadili ni marufuku lakini ya hii midoli haizingatiwi

Kwani nguo zikitundikwa kwenye Kamba na springs hazitauzika?

Hiki kitu hakipo sawa kwenye jamii, Waziri piga marufuku matumizi ya hiki kifaa
Kuna mfanyabiashara hapa ddm leo kashusha midoli za kike piss 1000
 
Huku niliko mimi... Naona ni sayari nyingine kabisaa...

Huku ni midoli ya kiume tu!.... Mashine zimening'inia uchi! Utadhani mikungu ya ndizi!

Serikali iliangalie hili maana ni karibu na shule ya wasichana tu!... Nawaonaga wanavyozishika shika naniliu..!.. ndio maana dildo zimepata soko!
 
Juzi nilipita kariakoo nikakuta mdoli unavalishwa nguo, jinsi ulivyokuwa umeshikwa ulikuwa unavutia hisia sana, jamaa akawa anavalisha taratibu huku akipiga stori na wenzake. Hilo lilikuwa ni shambulizi la kisaikolojia
Mawazo yako ya ngono muda wote hayawez tuzuia sisi kufanya kazi,

Acheni kujaza masheria
 
Huna lolote we nyamkomwe, upwiru tu umekujaa.

Ungeenda Ulaya ukakutana na sanamu zenye mboro naZani ungeandamana kabisa.

Ukienda uRaya unakutana na sanamu zenye miboro konki tena ziko kwenye public spaces.

Wadada wanapata tabu sana kuangalia ile miboro ya masanamu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huku niliko mimi... Naona ni sayari nyingine kabisaa...

Huku ni midoli ya kiume tu!.... Mashine zimening'inia uchi! Utadhani mikungu ya ndizi!

Serikali iliangalie hili maana ni karibu na shule ya wasichana tu!... Nawaonaga wanavyozishika shika naniliu..!.. ndio maana dildo zimepata soko!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu khaaah
 
Kuna hii midori, sijui wanaitaje mwanasesere, sijui watu wengine wanaitaje, inatumiwa na wafanyabiashara wa nguo kuvalisha nguo za kuuza

Maumbile ya kile kitu yanarandana na mwanamke na mbaya zaidi yametengenezewa matiti fulani yenye mvuto kwa wanaume.

Udhalilishaji wake ni kwamba kuna wafanyabiashara wengine wanayasimamisha nje ya maduka yao yakiwa uchi bila kuvalishwa nguo

Watu wazima wanapita, wamama, vijana na watoto wanapita wanayaangalia yakiwa uchi
Tunajenga picha gani kwenye jamii na watoto wetu wanajifunza nini na maadili ya Taifa hapo yatakuwepo kweli?

Kama Taifa tunasisitiza picha za kuashiria mmomonyoko wa maadili ni marufuku lakini ya hii midoli haizingatiwi

Kwani nguo zikitundikwa kwenye Kamba na springs hazitauzika?

Hiki kitu hakipo sawa kwenye jamii, Waziri piga marufuku matumizi ya hiki kifyaani

Yaani midori ni shida? Unapata wapi muda wa kushangaa midori, wakati ukitembea tu mjini watoto wa kike wapo nusu uchi!?
Tafuta kazi, ya kufnya, mkimaliza midori, mtakuja na kusema wasichana wasivae jinzi,za kubana, wasivae min skirt, kuna kiongozi, mmoja alisema, mabinti wanaopanda bodaboda wasijibinue makalio!
Nchi inamatatizo ya, ajira, cha kula, elimu, ufisadi, wewe unasumbuliwa na midori!?
 
Kuna hii midori, sijui wanaitaje mwanasesere, sijui watu wengine wanaitaje, inatumiwa na wafanyabiashara wa nguo kuvalisha nguo za kuuza

Maumbile ya kile kitu yanarandana na mwanamke na mbaya zaidi yametengenezewa matiti fulani yenye mvuto kwa wanaume.

Udhalilishaji wake ni kwamba kuna wafanyabiashara wengine wanayasimamisha nje ya maduka yao yakiwa uchi bila kuvalishwa nguo

Watu wazima wanapita, wamama, vijana na watoto wanapita wanayaangalia yakiwa uchi
Tunajenga picha gani kwenye jamii na watoto wetu wanajifunza nini na maadili ya Taifa hapo yatakuwepo kweli?

Kama Taifa tunasisitiza picha za kuashiria mmomonyoko wa maadili ni marufuku lakini ya hii midoli haizingatiwi

Kwani nguo zikitundikwa kwenye Kamba na springs hazitauzika?

Hiki kitu hakipo sawa kwenye jamii, Waziri piga marufuku matumizi ya hiki kifaa
Umeongea kitu muhimu sana ambacho kwa kweli ni ishara ya viongozi wetu kukosa kauli ya mamlaka

Mimi huwa najiuliza, hivi zamani nguo za ndani za kina dada zilikuwa haziuzwi? Mbona tulikuwa hatuzioni nje zikiwe zimevalishwa midoli? Dada zetu na mama zetu wanaona raha mfano wa maungo yao ya ndani yanavyoanikwa hadharani kwenye midoli?

Hili jambo si la kufumbia macho ni la kuchulia hatua kabisa. Mimi naamini biashara ya nguo za ndani ilikuwepo toka zamani na ilienda vizuri tu bila hii midoli

Cha kushangaza zaidi, midoli mingi inavalishwa chupi za mitindo mbalimbali za kike. Mbona boxa za wanaume hazitundikwi kwenye midoli, inamaana wanaume wao hawavai nguo za ndani??

Cha kushangaza zaidi, uzi umevamiwa na vijana wanaotumia mihemuko kufikiri badala ya kutafakari jambo kwa kina

Kwani kuuza nguo kunategemeana na midoli? Maduka mengi ya nguo yana chumba maalumu cha kujaribu nguo kama imekukaa vizuri au laa, hii midoli ni ya nini sasa?

Gwajima angalia hili linakudhalilisha hata wewe kama mwamamke
 
Kuna hii midori, sijui wanaitaje mwanasesere, sijui watu wengine wanaitaje, inatumiwa na wafanyabiashara wa nguo kuvalisha nguo za kuuza

Maumbile ya kile kitu yanarandana na mwanamke na mbaya zaidi yametengenezewa matiti fulani yenye mvuto kwa wanaume.

Udhalilishaji wake ni kwamba kuna wafanyabiashara wengine wanayasimamisha nje ya maduka yao yakiwa uchi bila kuvalishwa nguo

Watu wazima wanapita, wamama, vijana na watoto wanapita wanayaangalia yakiwa uchi
Tunajenga picha gani kwenye jamii na watoto wetu wanajifunza nini na maadili ya Taifa hapo yatakuwepo kweli?

Kama Taifa tunasisitiza picha za kuashiria mmomonyoko wa maadili ni marufuku lakini ya hii midoli haizingatiwi

Kwani nguo zikitundikwa kwenye Kamba na springs hazitauzika?

Hiki kitu hakipo sawa kwenye jamii, Waziri piga marufuku matumizi ya hiki kifaa
Ikoo KILA sehemu kosaa wasiyavalishe cdm TU

Else subiria wanyakyusaa wakusikie
 
Back
Top Bottom