The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Hii mada mtoa mada ameileta ni point kubwa ila pengine uwasilishwaji wake.
Si sahihi kuweka midoli nje ya duka bila kuvalisha nguo ni hatari sana kwa tafsiri za jamii kuanzia watoto wadogo mpaka watu wazima kwa maana ya udhalilishaji.
Kwa kiongozi huu kwake tunaeza mpatia mtihani ikawa yeye ni ngumu kutatua tatizo hili.
watu wa sanaa na utamaduni pamoja na maadili wakemee kwa kusema na kupiga marufuku au faina ya kuweka midoli mitupu bila kuvishwa nguo nje ya duka....iwekwe faini na adhabu kwa hili....angalau Tanzania iwe na maadili na nchi jirani ziige kwetu.
Kama Mh. Dkt. Gwajima D atahusika na hili sio vibaya pia.