third eye chakra
JF-Expert Member
- Dec 27, 2023
- 713
- 1,745
Tunaweza sioTunaeza=tunaweza, pumbavu kabisa!
mzee kuna mdoli mmoja umekutamanisha?Kuna hii midori, sijui wanaitaje mwanasesere, sijui watu wengine wanaitaje, inatumiwa na wafanyabiashara wa nguo kuvalisha nguo za kuuza
Maumbile ya kile kitu yanarandana na mwanamke na mbaya zaidi yametengenezewa matiti fulani yenye mvuto kwa wanaume.
Udhalilishaji wake ni kwamba kuna wafanyabiashara wengine wanayasimamisha nje ya maduka yao yakiwa uchi bila kuvalishwa nguo
Watu wazima wanapita, wamama, vijana na watoto wanapita wanayaangalia yakiwa uchi
Tunajenga picha gani kwenye jamii na watoto wetu wanajifunza nini na maadili ya Taifa hapo yatakuwepo kweli?
Kama Taifa tunasisitiza picha za kuashiria mmomonyoko wa maadili ni marufuku lakini ya hii midoli haizingatiwi
Kwani nguo zikitundikwa kwenye Kamba na springs hazitauzika?
Hiki kitu hakipo sawa kwenye jamii, Waziri piga marufuku matumizi ya hiki kifaa
Hebu weka picha mkuu tuone!Kuna hii midori, sijui wanaitaje mwanasesere, sijui watu wengine wanaitaje, inatumiwa na wafanyabiashara wa nguo kuvalisha nguo za kuuza
Maumbile ya kile kitu yanarandana na mwanamke na mbaya zaidi yametengenezewa matiti fulani yenye mvuto kwa wanaume.
Udhalilishaji wake ni kwamba kuna wafanyabiashara wengine wanayasimamisha nje ya maduka yao yakiwa uchi bila kuvalishwa nguo
Watu wazima wanapita, wamama, vijana na watoto wanapita wanayaangalia yakiwa uchi
Tunajenga picha gani kwenye jamii na watoto wetu wanajifunza nini na maadili ya Taifa hapo yatakuwepo kweli?
Kama Taifa tunasisitiza picha za kuashiria mmomonyoko wa maadili ni marufuku lakini ya hii midoli haizingatiwi
Kwani nguo zikitundikwa kwenye Kamba na springs hazitauzika?
Hiki kitu hakipo sawa kwenye jamii, Waziri piga marufuku matumizi ya hiki kifaa
Ushapiga Skanka yako Matata imekusimamisha wima unaanza kuiangalia midoli tofauti hadi midoli inakutoa udenda sasa unaanza kumsumbua Mama wa watu Dkt. Gwajima D kwenye masuala yako binafsiKwani nguo zikitundikwa kwenye Kamba na springs hazitauzika?
Hujamuelewa hakika. Ana hoja na ni hoja ya kimaadili kabisa. Haina tofauti na kuweka porno hadharani. Hii ni porno katika umbo la sanamu!Sometimes hata usipoandika uzi mkuu inafaa, sio lazima uandike kila siku,
Kwa hio tunakuwa taifa linaloogopa midoli ? Just midoli? Kwamba sasa kuweka mdoli nje ni kosa ?
Hili taifa sasa litakuwa la kipuuzi,
Nje bila nguo.Sometimes hata usipoandika uzi mkuu inafaa, sio lazima uandike kila siku,
Kwa hio tunakuwa taifa linaloogopa midoli ? Just midoli? Kwamba sasa kuweka mdoli nje ni kosa ?
Hili taifa sasa litakuwa la kipuuzi,
Sjakuelewahiv unaweza kujimwagia?
Umesema kweli iliyo kweliHii mada mtoa mada ameileta ni point kubwa ila pengine uwasilishwaji wake.
Si sahihi kuweka midoli nje ya duka bila kuvalisha nguo ni hatari sana kwa tafsiri za jamii kuanzia watoto wadogo mpaka watu wazima kwa maana ya udhalilishaji.
Kwa kiongozi huu kwake tunaeza mpatia mtihani ikawa yeye ni ngumu kutatua tatizo hili.
watu wa sanaa na utamaduni pamoja na maadili wakemee kwa kusema na kupiga marufuku au faina ya kuweka midoli mitupu bila kuvishwa nguo nje ya duka....iwekwe faini na adhabu kwa hili....angalau Tanzania iwe na maadili na nchi jirani ziige kwetu.
Kama Mh. Dkt. Gwajima D atahusika na hili sio vibaya pia.
Wanacho fanya wao hawapambanui mambo watanzania wengi wanaishi kwa mazoea tu.Umesema kweli iliyo kweli
I can thank you now Chief, only if you can tell me where I can get Bitter Kola in Dar es Salaam!for Men
Grate 5 bitter kolas, 5 slices of garlic, a piece of ginger. Put everything in a container to be filled with 1 liter of water to keep cool. Thank me later