Hii midoli ya madukani ni udhalilishaji wa wanawake. Waziri Gwajima piga marufuku matumizi yake

Hii midoli ya madukani ni udhalilishaji wa wanawake. Waziri Gwajima piga marufuku matumizi yake

Walivyo kua wajinga zaidi baadhi ya midoli wanaishepu vizuri na misambwanda yakwenda.duuh kweli dunia ipo kasi sana yani mtu hadi unatamani midoli unakua kicha box kabisa[emoji847][emoji847]
 
Kuna hii midori, sijui wanaitaje mwanasesere, sijui watu wengine wanaitaje, inatumiwa na wafanyabiashara wa nguo kuvalisha nguo za kuuza

Maumbile ya kile kitu yanarandana na mwanamke na mbaya zaidi yametengenezewa matiti fulani yenye mvuto kwa wanaume.

Udhalilishaji wake ni kwamba kuna wafanyabiashara wengine wanayasimamisha nje ya maduka yao yakiwa uchi bila kuvalishwa nguo

Watu wazima wanapita, wamama, vijana na watoto wanapita wanayaangalia yakiwa uchi
Tunajenga picha gani kwenye jamii na watoto wetu wanajifunza nini na maadili ya Taifa hapo yatakuwepo kweli?

Kama Taifa tunasisitiza picha za kuashiria mmomonyoko wa maadili ni marufuku lakini ya hii midoli haizingatiwi

Kwani nguo zikitundikwa kwenye Kamba na springs hazitauzika?

Hiki kitu hakipo sawa kwenye jamii, Waziri piga marufuku matumizi ya hiki kifaa
mzee kuna mdoli mmoja umekutamanisha?
 
Hebu weka picha mkuu tuone!
 
Sometimes hata usipoandika uzi mkuu inafaa, sio lazima uandike kila siku,

Kwa hio tunakuwa taifa linaloogopa midoli ? Just midoli? Kwamba sasa kuweka mdoli nje ni kosa ?

Hili taifa sasa litakuwa la kipuuzi,
Hujamuelewa hakika. Ana hoja na ni hoja ya kimaadili kabisa. Haina tofauti na kuweka porno hadharani. Hii ni porno katika umbo la sanamu!
 
Watu mnajifafanya kubeza midoli, mnajisahaulisha pia kuna midoli ya ngono?
 
Anamaanisha kuiweka
Sometimes hata usipoandika uzi mkuu inafaa, sio lazima uandike kila siku,

Kwa hio tunakuwa taifa linaloogopa midoli ? Just midoli? Kwamba sasa kuweka mdoli nje ni kosa ?

Hili taifa sasa litakuwa la kipuuzi,
Nje bila nguo.
 
Njoo Mbezi Mwisho...

Sanamu la kizungu kwa kuwa halina halina kishundu, wanaliongezea kishundu cha matambara ili livutie zaidi...
 
Wanawake wenyewe ndio wanaongoza kujidhalilisha;
Mitaani
Tiktok
Facebook
Telegram
instagram
Badoo
Labda hoja iwe, je tunashindwa kute ngeneza wenyewe hiyo midoli tanzania?lazima kuagiza nje?.
 
Hii mada mtoa mada ameileta ni point kubwa ila pengine uwasilishwaji wake.

Si sahihi kuweka midoli nje ya duka bila kuvalisha nguo ni hatari sana kwa tafsiri za jamii kuanzia watoto wadogo mpaka watu wazima kwa maana ya udhalilishaji.

Kwa kiongozi huu kwake tunaeza mpatia mtihani ikawa yeye ni ngumu kutatua tatizo hili.

watu wa sanaa na utamaduni pamoja na maadili wakemee kwa kusema na kupiga marufuku au faina ya kuweka midoli mitupu bila kuvishwa nguo nje ya duka....iwekwe faini na adhabu kwa hili....angalau Tanzania iwe na maadili na nchi jirani ziige kwetu.

Kama Mh. Dkt. Gwajima D atahusika na hili sio vibaya pia.
Umesema kweli iliyo kweli
 
for Men
Grate 5 bitter kolas, 5 slices of garlic, a piece of ginger. Put everything in a container to be filled with 1 liter of water to keep cool. Thank me later
I can thank you now Chief, only if you can tell me where I can get Bitter Kola in Dar es Salaam!
 
Back
Top Bottom