Sasa kama ni mkeo mbona unauliza humu...haumuamini kwani? ama hautaki watoto?
Bwana Mundu tatizo sio Mimba. ishu ni mwanamke kushika mimba na bado akaingia ktk sku zake. this have been strange to me. siko hapa kulalamikia mimba. niko hapa kushere experience katika hili. Thanks.
Mda mwingine siasa zinakupotosha, jamaa anasema ujauzito umegundulika baada ya kutoka bleed wewe unasema mengine. Jaribu kusoma vizuri hapa hatuko lumumbaMwanamke mwenye mimba hawezi kupata siku zake, ila anaweza kubleed. damu yake inakuwa ndogo kulikoo ya hedhi.
Akipata damu kama ya hedhi kwa siku nne, mimba HAIWEZI kuwepo.
Kipimo cha mkojo kinaweza kuwa positive hata kama mimba imetoka. Give it sometime akapime tena mkojo na ikiwezekana ultrasound.
Kipimo specific zadi ni concentration ya HCG kwenye damu, lakini nimewahi kuulizia kama kuna sehemu wanafanya Dar es Salaam sijapata jibu.
Mda mwingine siasa zinakupotosha, jamaa anasema ujauzito umegundulika baada ya kutoka bleed wewe unasema mengine. Jaribu kusoma vizuri hapa hatuko lumumba
Amepima kwa njia anayoijua yeye hivi wewe ni mgumu wa kuelewa?Umegunduika kwa kutumia njia gani?
Amepima kwa njia anayoijua yeye hivi wewe ni mgumu wa kuelewa?
Mimi sijakukatalia kwa kile ulichoshauri bali ushauri wako haujareflect kwenye tatizo aliloombea ushauri wake. Hacha kupanicNilifikiri una akii timamu ya kuweza kujadii mada iliyoletwa kumbe unadhani hili ni jukwaa la bavicha.
Waache wanaoweza kuelewa vinavyoandikwa hapa wachangie. Sio kila kitu lazima uongee, kila jambo lina mahala pake.
Mimi sijakukatalia kwa kile ulichoshauri bali ushauri wako haujareflect kwenye tatizo aliloombea ushauri wake. Hacha kupanic
thanks watu8. Naona ndo yenyewe...nimejaribu kui google maelezo yake ni kama ilivyotokea kabisa. Thanks.
Hivi mleta thread amesema mkewe anatokwa na damu zisizoeleweka au amesema alipata hedhi kwa siku nne baada ya hapo walipopima ndio akaonekana ana ujauzito. Kwani amekuambia damu zinaendelea kutoka? Usitufanye kana kwamba hatuji haya mambo. Unajifanya unajua kumbe bure kabisaUnajua nyinyi vijana wa bavicha ndio huwa mnasababisha watu wasiwe wanatumia ujuzi wao kutoa ushauri wa kitaalam.
Kuna watu wanatoa ushauri ambao kimsingi ulitakiwa kulipiwa, wanatoa bure tu. Halafu unatokea mtu kama wewe kuingiza siasa. Sasa hapa siasa imeingiaje?
Tatizo lako unadhani hili ni swala la udaku!
Ngoja nikujulishe basi ili next time ujifunze kuwa serious katika mambo serious. Hii habari iliyotolewa kwa kiasi kikubwa inaweza kumaanisha kuwa ujauzito uko nje ya kifuko cha uzazi. Kama ikiwa hivyo, ujauzito unaweza "kutoboa" mishipa ya damu na kusababisha damu nyingi kubwagika tumboni na kusababisha madhara makubwa ikiwemo kupoteza maisha.
Kwahiyo, habari hii sio ya kuifanyia mzaha. Ni jambo serious linalotakiwa kuchukuliwa kwa uzito unaostahili.
Tafadhali usirudie kuleta kejeli za siasa kwenye hili jukwaa.