Hii mimba jamani, mwenye uelewa..

Hii mimba jamani, mwenye uelewa..

Engager

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
1,522
Reaction score
3,255
Habarin jamvini... Naomba experience na utaalam wenu kuhusu hii mimba.

-Tarehe 21march,2013 nilikutana naye kimwili (bila kinga)
-Tarehe 10 April, 2013 akaingia bleed kama kawaida.
-Siku chache baada ya bleed kukata (ilimchukua siku 4 na ndo kawaida kwake) akaanza kuhisi dalili za ujauzito..nikamshauri akapime.
-Jana April 17 amepima na majibu yanaonyesha ni mjamzito.

katika experience yangu ya haya mambo hiki ni kitu kigeni kwangu.

NB: MHUSIKA NI MKE WANGU HALALI WA NDOA NA HII NI MIMBA YAKE YA KWANZA.
 
Sasa kama ni mkeo mbona unauliza humu...haumuamini kwani? ama hautaki watoto?
 
Bwana Mundu tatizo sio Mimba. ishu ni mwanamke kushika mimba na bado akaingia ktk sku zake. this have been strange to me. siko hapa kulalamikia mimba. niko hapa kushere experience katika hili. Thanks.
 
Kwa sisi wataalamu wa Saikolojia, Ni wazi huyo si mke wako. Ila tu huamini kama ni mimba yako.
Nakushauri siku nyingine usipige kavu ndugu yangu.
 
Hiyo kitu inawezekana ni "implantation bleeding"
 
Bwana Mundu tatizo sio Mimba. ishu ni mwanamke kushika mimba na bado akaingia ktk sku zake. this have been strange to me. siko hapa kulalamikia mimba. niko hapa kushere experience katika hili. Thanks.

Sawa kaka. Ushauri wangu ni kwenda kwa Daktari wa akina mama...atakusaidia. Seems strange kwakweli.
 
Hiyo kitu inawezekana ni "implantation bleeding"

thanks watu8. Naona ndo yenyewe...nimejaribu kui google maelezo yake ni kama ilivyotokea kabisa. Thanks.
 
Kuna wanawake wanakuwa na mimba hasa miezi 2 ya kwanza wanaona siku zao. Kuna issue naifahamu tena mwanamke alipata tena mimba ya mapacha ila ikashangaza kama wili ya 10 akaona siku zake. Kwa hiyo ni jambo ambalo linatokea. Kinachotakiwa nenda kwa dr wa wanawake na atakushauricha kufanya. Healthwise inatakiwa kuanzia sasa asione tena siku zake. Kama ataendelea inapunguza ukuaji wa mtoto na mimba inaweza kuharibika. Usiwe na wasi wasi hakuna mtu kapita hapo.
 
tena huyo atakuwa ni mtoto wa kike chukua ushauri aliokupa Zogwale utakusaidia sana. Hakikisha haendelei kubleed
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke mwenye mimba hawezi kupata siku zake, ila anaweza kubleed. damu yake inakuwa ndogo kulikoo ya hedhi.

Akipata damu kama ya hedhi kwa siku nne, mimba HAIWEZI kuwepo.

Kipimo cha mkojo kinaweza kuwa positive hata kama mimba imetoka. Give it sometime akapime tena mkojo na ikiwezekana ultrasound.

Kipimo specific zadi ni concentration ya HCG kwenye damu, lakini nimewahi kuulizia kama kuna sehemu wanafanya Dar es Salaam sijapata jibu.

Ni muhimu aende hospitai ili afuatiiwe kwa sababu kuna risk ya ujauzito kuwa umetunga nje ya kifuko cha uzazi.
 
Mwanamke mwenye mimba hawezi kupata siku zake, ila anaweza kubleed. damu yake inakuwa ndogo kulikoo ya hedhi.

Akipata damu kama ya hedhi kwa siku nne, mimba HAIWEZI kuwepo.

Kipimo cha mkojo kinaweza kuwa positive hata kama mimba imetoka. Give it sometime akapime tena mkojo na ikiwezekana ultrasound.

Kipimo specific zadi ni concentration ya HCG kwenye damu, lakini nimewahi kuulizia kama kuna sehemu wanafanya Dar es Salaam sijapata jibu.
Mda mwingine siasa zinakupotosha, jamaa anasema ujauzito umegundulika baada ya kutoka bleed wewe unasema mengine. Jaribu kusoma vizuri hapa hatuko lumumba
 
Amepima kwa njia anayoijua yeye hivi wewe ni mgumu wa kuelewa?

Nilifikiri una akii timamu ya kuweza kujadii mada iliyoletwa kumbe unadhani hili ni jukwaa la bavicha.

Waache wanaoweza kuelewa vinavyoandikwa hapa wachangie. Sio kila kitu lazima uongee, kila jambo lina mahala pake.
 
Mimi sijakukatalia kwa kile ulichoshauri bali ushauri wako haujareflect kwenye tatizo aliloombea ushauri wake. Hacha kupanic
 
Unajua nyinyi vijana wa bavicha ndio huwa mnasababisha watu wasiwe wanatumia ujuzi wao kutoa ushauri wa kitaalam.

Kuna watu wanatoa ushauri ambao kimsingi ulitakiwa kulipiwa, wanatoa bure tu. Halafu unatokea mtu kama wewe kuingiza siasa. Sasa hapa siasa imeingiaje?

Tatizo lako unadhani hili ni swala la udaku!
Ngoja nikujulishe basi ili next time ujifunze kuwa serious katika mambo serious. Hii habari iliyotolewa kwa kiasi kikubwa inaweza kumaanisha kuwa ujauzito uko nje ya kifuko cha uzazi. Kama ikiwa hivyo, ujauzito unaweza "kutoboa" mishipa ya damu na kusababisha damu nyingi kubwagika tumboni na kusababisha madhara makubwa ikiwemo kupoteza maisha.

Kwahiyo, habari hii sio ya kuifanyia mzaha. Ni jambo serious linalotakiwa kuchukuliwa kwa uzito unaostahili.

Tafadhali usirudie kuleta kejeli za siasa kwenye hili jukwaa.
 
thanks watu8. Naona ndo yenyewe...nimejaribu kui google maelezo yake ni kama ilivyotokea kabisa. Thanks.

Usijali mkuu, pia fuatilia ushauri wa Zogwale na ZeMarcopolo maana kama hujaenda hospitali speculations huwa ni nyingi. Kuzififisha hizo speculations zote ni vyema ukafika kwa madaktari wa kina mama kwa vipimo zaidi.
 
Unajua nyinyi vijana wa bavicha ndio huwa mnasababisha watu wasiwe wanatumia ujuzi wao kutoa ushauri wa kitaalam.

Kuna watu wanatoa ushauri ambao kimsingi ulitakiwa kulipiwa, wanatoa bure tu. Halafu unatokea mtu kama wewe kuingiza siasa. Sasa hapa siasa imeingiaje?

Tatizo lako unadhani hili ni swala la udaku!
Ngoja nikujulishe basi ili next time ujifunze kuwa serious katika mambo serious. Hii habari iliyotolewa kwa kiasi kikubwa inaweza kumaanisha kuwa ujauzito uko nje ya kifuko cha uzazi. Kama ikiwa hivyo, ujauzito unaweza "kutoboa" mishipa ya damu na kusababisha damu nyingi kubwagika tumboni na kusababisha madhara makubwa ikiwemo kupoteza maisha.

Kwahiyo, habari hii sio ya kuifanyia mzaha. Ni jambo serious linalotakiwa kuchukuliwa kwa uzito unaostahili.

Tafadhali usirudie kuleta kejeli za siasa kwenye hili jukwaa.
Hivi mleta thread amesema mkewe anatokwa na damu zisizoeleweka au amesema alipata hedhi kwa siku nne baada ya hapo walipopima ndio akaonekana ana ujauzito. Kwani amekuambia damu zinaendelea kutoka? Usitufanye kana kwamba hatuji haya mambo. Unajifanya unajua kumbe bure kabisa
 
Back
Top Bottom